Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Ninachoandika huwa nalenga kutoa mwongozo kwa vijana wa kiume, sasa kama mwanamke yupo kwenye wrong side ilo sio kosa langu. Nikishauri kijana kuoa mwanamke bikira sijawasakama wanawake ambao hawajajitunza.
Halafu wanawake ambao hawajajitunza mfano Jadda, wakidhani unawatukana, kumbe unaongea na wanaume wenzio, wao haiwahusu.
 
Tatizo watu wanakimbilia kusema wanataka mabinti wadogo bila kufanya tafiti mabinti wa Sasa wanataka Nini inabidi wajue kabisa mabinti wenye 30+ sio kwamba hawakupata wanaume ila waliwakata
Malizia hapo hapo waliwakataa wanaume wema kwa sababu hawaendani na fantasy zao baada ya kuingia 30 ndio wanawataka wale wale wanaume wema ambao waliwakataa wakiwa kwenye peak yao
 
Sasa huko kujiadjust kunatakiwa kuendane na uhalisia na idadi ya hao wanawake waliojitunza vinginevyo labda kama mnataka wanaume watatu muoe mke mmoja hapo sawa, wanaume hawawezi kukwepa lawama kwenye suala zima la wanawake kutojitunza hata dunia ipinduke juu chini, siku mkilikubali hili mtakuwa mmepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye mabadiliko vinginevyo hamna tofauti na mtu anayekimbia kwenye treadmill akitarajia kufika anako kwenda..sisi tumekaa pale tunawasubiri mje tuongee lugha moja!!
Unaweza kuwa mwanaume mwema na ukapata mke mwema au kivuluge vilevile unaweza kuwa badboy na ukapata mke mwema au kivuluge(ingawa uchunguzi wangu unaonesha mara nyingi badboys wakiamua kutulia ndio wanapataga mke mwema). Hata hivyo, kila mmoja ashinde mechi zake.
 
Mwanaume unaoaje mwanamke mwenye miaka 25+ kama unataka kufungua kituo cha kulea wazee si useme tu
 
Kama tulishaingia chaka lakini umri wetu ni 30 tufanyeje Mheshimiwa?
 
Hao wanawake wa kukubali kuolewa na vibabu nani? Kwanza utaweza kummudu kwenye mapenzi au unawatafutia wenzio vifo? Mje mgongewe muanze kufa kwa sukari..!!

Halafu watoto wa uzeeni wengi wanakua michawa, baba umepata mtoto ukiwa goigoi..!!
Kwani hoa mashangazi hawagongwi....wee mwenyewe sii unalalamika hapa unagogwa lani humfeel...hovyo wataka kugongwa kwengine
 
Haya ni maneno ya kipumbavu ambayo wanawake wa kiafrika msiotumia akili zenu mmejazwa vichwani mwenu na mafeminists wa magharibi hasa kutoka Sweden kule ambako wanawake hawazai wamebaki kuishi na mapaka tu ndani, mmeaminishwa kwamba kuzaa na kufanya majukumu ya kike kimatamaduni ni utumwa... upumbavu mtupu!

Angalia wewe hapa sasa hivi unasema eti mwanamke sio kiwanda cha kuzaa, sasa kwa hiyo unataka ukiolewa ukafanye nini kwenye ndoa? Ukamjazie choo tu na kumjambia mumeo usiku kucha, wakati huo yeye anabeba jukumu la kukulisha na kukupa mahitaji yote ya msingi au?

Kama hutaki kuzaa baki hapo hapo kwenu, ushindane na wazazi wako kujaza choo na kula mapera. Dhumuni kuu na la msingi la ndoa tangu ulimwengu unaanzishwa ni kuendeleza kizazi cha binadamu..!!, sasa kama wewe hauko tayari kuendeleza kizazi cha binadamu, ishi mwenyewe, zeeka kisha baada ya hapo ufe. acha wanawake ambao wanapenda kuendeleza uzao wa mwanadamu waingie ndoani.

Na pia kwa udadisi wangu tu mfupi, asilimia kubwa ya wanawake mnaotokwa na kauli kama hizi hamnakuwaga mmeviharibu vizazi vyenu, mara nyingi mnakuwaga ni matasa(barren women) baada ya multiple abortions mliozifanya ujanani.
Kabisa akae na babba yake wagegedane🤣🤣🤣🤣
 
Malizia hapo hapo waliwakataa wanaume wema kwa sababu hawaendani na fantasy zao baada ya kuingia 30 ndio wanawataka wale wale wanaume wema ambao waliwakataa wakiwa kwenye peak yao
Ndo hapo nipokwambia hata Sasa hao watoto itamidi hao watoto uwe na uwezo kumudu fantasy na luxury zao kama wewe sio age mate wake la atakukataa tena Kwa kigezo umemzidi umri na bado pesa huna
 
Nani kakuambua dhumuni la mwanaume kuoa mke mama wa nyumbani ni kumnyanyasa? Moja ya mambo ambayo umeshindwa kuyajua kwenye hoja zako ni hapo kwenye kutofautisha mfumo dume na unyanyasaji
Siku zote anayeujua unyanyasaji ni mnyanyaswaji na si mnyanyasaji na huwezi kumpangia mtu ajisikie vipi kwenye moyo wake uliobeba hisia zake, mpaka wanawake wengi wanasema kwamba wananyanyaswa kwa sababu ya kuwa magolikipa na hadi kuamua kujitafutia pesa zao (ingawa wengi hawapendi) basi haiwezekani wote wakawa waongo, halafu ukija upande wa pili wanaume wanashikilia mabango kwamba mfumo dume ndio sahihi na kwamba wanachofanya kwa wanawake siyo unyanyasaji bali ni mfumo dume tu
Halafu wanawake ambao hawajajitunza mfano Jadda, wakidhani unawatukana, kumbe unaongea na wanaume wenzio, wao haiwahusu.
Sinaga inferiority complex ya kijinga namna hiyo ninyi wanaume ndio mnayo hiyo, kila mkikosolewa huwa mnafeel attacked na kuanza kumtukana mtoa hoja badala ya kujibu hoja, kitu ambacho siyo ukweli hakiwezi kuniumiza na kama ningekuwa naumia basi ningeshaacha kuwakosoa humu
Unaweza kuwa mwanaume mwema na ukapata mke mwema au kivuluge vilevile unaweza kuwa badboy na ukapata mke mwema au kivuluge(ingawa uchunguzi wangu unaonesha mara nyingi badboys wakiamua kutulia ndio wanapataga mke mwema). Hata hivyo, kila mmoja ashinde mechi zake.
Sasa kinachotakiwa ili mzani ubalance wanaume wema wapate wanawake wema na wanaume magubegube wapate wanawake magumegume, lakini cha ajabu unakuta magubegube ndio ya kwanza kulalamika kwamba wanawake hawajitunzi na hawajiheshimu, hao mimi ndio huwa nawashangaa na hata hivyo wengi wao mwisho wa siku baada ya kukosa walichokitaka wanakubali uhalisia na kuangukia kwa hao hao magumegume
 
Ndo hapo nipokwambia hata Sasa hao watoto itamidi hao watoto uwe na uwezo kumudu fantasy na luxury zao kama wewe sio age mate wake la atakukataa tena Kwa kigezo umemzidi umri na bado pesa huna
possible damages zozote ambazo unazani mwanamke anaweza kuwa nazo, ukienda na factor yoyote statisticaly street veteran of 30+ she is likelihood to be worst than a young woman around 18-23
 
possible damages zozote ambazo unazani mwanamke anaweza kuwa nazo, ukienda na factor yoyote statisticaly street veteran of 30+ she is likelihood to be worst than a young woman around 18-23
Njia nzuri nafikiri ni watu waoane wakiwa wote vijana wadogo mnaopenda sio usubiri uwe veterans ndo uanze kukimbiza vitoto vidogo mpaka unakuwa na wakati ngumu kukashawishi kukaoa wakati huo kapo kwenye dimbwi la mapenzi na kijana mwenzie
 
Siku zote anayeujua unyanyasaji ni mnyanyaswaji na si mnyanyasaji na huwezi kumpangia mtu ajisikie vipi kwenye moyo wake uliobeba hisia zake, mpaka wanawake wengi wanasema kwamba wananyanyaswa kwa sababu ya kuwa magolikipa na hadi kuamua kujitafutia pesa zao (ingawa wengi hawapendi) basi haiwezekani wote wakawa waongo, halafu ukija upande wa pili wanaume wanashikilia mabango kwamba mfumo dume ndio sahihi na kwamba wanachofanya kwa wanawake siyo unyanyasaji bali ni mfumo dume tu
Sio kila mama wa nyumbani ananyanyaswa. Wapo ambao wameolewa kwa hiyali yao wanahudumiwa na waume zao na wanaishi maisha ya furaha kabisa. Mimi mke wangu ni mama wa nyumbani na sijawahi kumnyanyasa wala sijawahi kusikia kapeleka popote hayo malalamiko uliyoyasema hapa
Sasa kinachotakiwa ili mzani ubalance wanaume wema wapate wanawake wema na wanaume magubegube wapate wanawake magumegume, lakini cha ajabu unakuta magubegube ndio ya kwanza kulalamika kwamba wanawake hawajitunzi na hawajiheshimu, hao mimi ndio huwa nawashangaa na hata hivyo wengi wao mwisho wa siku baada ya kukosa walichokitaka wanakubali uhalisia na kuangukia kwa hao hao magumegume
Iyo haiwezekani. You don't get what you deserve, you get what you negotiate.
 
Back
Top Bottom