Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Njia nzuri nafikiri ni watu waoane wakiwa wote vijana wadogo mnaopenda sio usubiri uwe veterans ndo uanze kukimbiza vitoto vidogo mpaka unakuwa na wakati ngumu kukashawishi kukaoa wakati huo kapo kwenye dimbwi la mapenzi na kijana mwenzie
Hapo mzani hauwezi kubalance. Binti wa miaka 18-23 ambae yupo tayari kuolewa huyu wanaume wa age yake bado wanajitafuta.

Kijana wa miaka 30 ambae kajipata na yupo tayari kuoa huyu wanawake wa age yake tayari washachoka. Kwaiyo hapo matching nzuri ni kijana wa 30's kuoa binti wa 20's
 
Wakipendana watatafuta wote mradi ndani kipatikane chakula lakini wewe ukisubiri uwe veterans Kwa kusema upo unajitafuta inabidi uwe umejipata kweli kweli ili umpe sababu za msingi za kumrubuni umwoe la sivyo utasaga sana na rumba na kama ukifanisha utaishia kudharauliwa na watoto wadogo
 
Kama wakianza pamoja from scratch ni sawa ingawa inatokeaga mara chache sana kukuta wanaanza mapenzi wakiwa teenages mpaka wanaoana.

Halafu mnakosea sana kumwita binti wa miaka 18-23 ni mtoto mdogo, tupo wengi sana ambao tumeoa mabinti tuliowakuta kwenye interval iyo ya umri na wala sio matajiri tuna vipato vya kawaida sana.

Halafu kitu ambacho huwa nawashangaa nyie watu. Binti wa miaka 18 ashaanza kutombwa, akifika chuo ataishi kwenye ndoa bubu na boyfriend wake ambao hawataoana wakimaliza masomo. Atampikia, atamfulia na kifanya huduma zote za mke.

Hayo mapito yote anayopitia huyu mwanamke kisingizio ni anapogania malengo yake. Sasa si bora aoelewe akatombwe, kumpikia na kumfulia nguo mumewe halai akiwa ndoani
 
Hayo mapito yote anayopitia huyu mwanamke kisingizio ni anapogania malengo yake. Sasa si bora aoelewe akafanye hayo akiwa ndoani na mumewe halali
Kwaiyo wewe mwanao hutampeleka chuo ili asitombwe?
 
Binti yangu akifikisha umri wa mtu mzima na akapendana na kijana na kijana uyo akaleta posa. Mimi nitamthaminisha uyo kijana kulingana na rekodi yake na uwezo wake wa kumudu kutunza familia kama nikijirishisha amekidhi vigezo na binti yangu yupo tayari kuolewa nae mimi sitakua na kipingamizi.
 
Mapenzi yanachanganya sana,kuna kabinti kakali kinoma ka miaka 17-18 hivi.Kalikua na msela wake ndo alikatoa bikra,hawajapishana sana umri.wakati huohuo kakaanzisha mahusiano na mjomba wa age 36,ambaye ni jobless na life la kuungaunga.Mjomba alitongoza kiutani tu akijua hawezi kubaliwa ila ndo hivyo binti kampiga chini kijana kakomaa na mtu mzima,tena kamemganda mwana hadi huwa nashangaa kuna watu na bahati zao
.
 
Binti yangu akifikisha umri wa mtu mzima na akapendana na kijana na kijana uyo akaleta posa. Mimi nitamthaminisha uyo kijana kulingana na rekodi yake na uwezo wake wa kumudu kutunza familia kama nikijirishisha amekidhi vigezo na binti yangu yupo tayari kuolewa nae mimi sitakua na kipingamizi.
Kwaiyo utamkatisha masomo au ataenda kusomeshwa na wakwe?
 
Sio kila mama wa nyumbani ananyanyaswa. Wapo ambao wameolewa kwa hiyali yao wanahudumiwa na waume zao na wanaishi maisha ya furaha kabisa. Mimi mke wangu ni mama wa nyumbani na sijawahi kumnyanyasa wala sijawahi kusikia kapeleka popote hayo malalamiko uliyoyasema hapa

Iyo haiwezekani. You don't get what you deserve, you get what you negotiate.
Duuh hivi kumbe na wewe umeoa, anyway kwa sisi wakongwe wa humu jf tunajua mtu yeyote anaweza akaandika lolote mradi tu aitetee hoja yake ipate nguvu, lakini kwa bahati nzuri au mbaya hatutilii maanani mifano ya watu binafsi tusiowajua humu bali tunaongelea uhalisia wa jamii kwa ujumla
 
Kama wakianza pamoja from scratch ni sawa ingawa inatokeaga mara chache sana kukuta wanaanza mapenzi wakiwa teenages mpaka wanaoana.

Halafu mnakosea sana kumwita binti wa miaka 18-23 ni mtoto mdogo, tupo wengi sana ambao tumeoa mabinti tuliowakuta kwenye interval iyo ya umri na wala sio matajiri tuna vipato vya kawaida sana.

Halafu kitu ambacho huwa nawashangaa nyie watu. Binti wa miaka 18 ashaanza kutombwa, akifika chuo ataishi kwenye ndoa bubu na boyfriend wake ambao hawataoana wakimaliza masomo. Atampikia, atamfulia na kifanya huduma zote za mke.

Hayo mapito yote anayopitia huyu mwanamke kisingizio ni anapogania malengo yake. Sasa si bora aoelewe akatombwe, kumpikia na kumfulia nguo mumewe halai akiwa ndoani
Bila shaka haujui tofauti kati ya maisha ya uchumba na maisha ya ndoa kwa mwanamke ndoa siyo tu kut*mbwa au kufanya hizo kazi kama unavyoandika hapa, ndoa inahitaji a lot of sacrifices hasa kwa mwanamke na wanawake wengi waliopo kwenye early 20s hawako tayari kwa hilo, lakini hata hivyo kama wanaume hamtaki wanawake wafanye hayo kwenye uchumba basi kataeni pale mnapoona wanataka kuwafanyia hayo ili mjitunzie wake wema kesho mkitaka kuoa muwakute wana bikira
 
Imeniuma sana, najua maumivu ya wanawake ambao hawajaolewa...

Nikiwa kama mama mchungaji wa JF
Hawaelewi, uhusiano wowote wenye age gap kubwa ni 'predatory' kwa mwanamke sababu kubwa wanaume wanaamini ni rahisi kuwacontrol mabinti wadogo. Wanawake wa rika lao hawawezi kukubali kuendekeza upuuzi unaovumiliwa na watoto hao under 25 ambao ubongo na uwezo wa kufanya maamuzi magumu hawana. Watu kama hawa hawawezi kuruhusu kamwe mabinti zao waolewe na mtu ambaye akikaa vibaya anaweza kumzaa. Napita tu
 
Now najua tatizo lako linaanzia wapi. Learn to heal peacefully bro. Na jifunze kuepuka kufanya generalization ya mambo. Hakunaga jibu moja katika maisha, life is an algebraic equation, hayana format ya 1+1=2. Katika maisha kuna x na y nyingi mno na kila mmoja anazo zake.
Jibu hoja, mnavyosimanga wanaume masikini kwani na nyie hamna makaka masikini au baba zenu siyo masikini?
 
Ndoa sio kwa ajiri ya kila mtu kwaiyo usitoe hitimisho kwa kumfanyia rejea binti yako tu. Wapo mabinti wengi tu ambao tayari umri huo akili zishapevuka kuweza kuolewa.

Huyo binti yako unaweza kukuta sio bikira, sasa mpaka afike miaka 25+(ambayo wengi mnaamimi ndio umri sahihi wa kuolewa) maana yake tayari atakua na list ya exes wengi.

Sasa kuliko atombwe na randomly strangers kwa kisingizio anapigania malengo yake si bora akatombwe na mumewe akiwa kwenye ndoa.
Narudia ikiwa una akili timamu na una lengo la kujenga familia imara,kwa karne hii tuliyopo, hauwezi kuoa binti wa miaka 18 -19. Ila kama kinachokusukuma ni ngono na tamaa hilo sawa kwa sababu tunaona majitu mazima yanabaka vitoto vya miaka mpaka 5. Uzoefu niliokupa wa binti yangu ni reflection ya wengi wanaojitambua kwa sababu tunayaona yanayoendelea kwenye jamii zetu kwa mabinti wa miaka 18-19.
 
Nimeweka interval ya 18-23 nikimaanisha unaweza kupanda kulingana na preference zako lakini angalao usitoke nje ya hapo, iyo interval ya 18-19 umekuja nayo wewe
 
Pamoja na fumbo la mustakabali wa maisha yetu pia tunawajibika kuchukua taadhari zote katika ufanyaji maamuzi. Mwanamke kuwa single mother au kufika 30+ akiwa hajaolewa iyo ni red flag, inawezekana akawa mkosaji au victim lakini kitendo cha kuwa na moja ya izo sifa(au zote) kwa mwanaume yoyote makini lazima utakua na alama ya kiulizo akilini
Ni kweli kabisa, angekuwa na sifa za kuolewa angeolewa kabla hajafika miaka 30, wanaume wanavyomuacha hawamuoi siyo kwamba hawana akili
 
Back
Top Bottom