Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Wanawake wenye miaka 30+ wana haraka sana na maisha, maana kila kitu wanaona wamechelewa. Ila wanakuwa tayari wamefanya kila kitu
 
Nashangaa, jamii ya sahivi mwanaume uki-date na binti wa form 3 au form 4 una uwezekano mkubwa wa kwenda jela kuliko ukiwa shoga, au ukifumwa unamla shoga, case in point James delicious, si aliwekwaga lock up sababu ya yeye kuwa shoga, sahivi yupo mtaani Natafuta Ajira
 
Sure wengi hawakubali ila wakifika 30 wanalalamika wanaume waoaji hakuna ,Nina demu Yuko 24 nataka kumuoa tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na miezi mitatu na tumetambulishana home ila mpka Leo suala la kumtolea mahari na kumvisha Pete anapiga chenga
Mchunguze vizuri, ana mwanaume/wanaume mwingine huyo ambao anawategemea wamuoe Ravalomanana
 
Mgonge tu then muache
Sure wengi hawakubali ila wakifika 30 wanalalamika wanaume waoaji hakuna ,Nina demu Yuko 24 nataka kumuoa tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na miezi mitatu na tumetambulishana home ila mpka Leo suala la kumtolea mahari na kumvisha Pete anapiga chenga
 
Wanawake wenye miaka 30+ wana haraka sana na maisha, maana kila kitu wanaona wamechelewa. Ila wanakuwa tayari wamefanya kila kitu
Ni kweli iyo ukiwa nae ataanza kukupa presha ya kutaka ndoa wakati bado unahitaji muda wa kumfanyia vetting halafu wewe ndio kwanza umeingia kwenye peak yako wakati mwenzako tayari ashafanya michezo yote
 
Mambo ya kawaida tumeyafanya kuwa mabaya halafu mambo mabaya tumeyafanya kuwa ya kawaida
 
Sure wengi hawakubali ila wakifika 30 wanalalamika wanaume waoaji hakuna ,Nina demu Yuko 24 nataka kumuoa tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na miezi mitatu na tumetambulishana home ila mpka Leo suala la kumtolea mahari na kumvisha Pete anapiga chenga
Mmeungwa wengi hapo kila mmoja anahitajika kwa wakati wake
 
Ila ungekua mwanaume ungependa kuoa yupi, pisi unakuta ilivokua na miaka 19-23 haitaki kuolewa inakutana na mabalaa na mishomboko ya kina bolotoba, halafu wakifika miaka 28-30 wanataka waolewe na kina fanton mahal, ww umeonea wapi hiyo Nashengena Fanton Mahal Bolotoba BICHWA KOMWE -
 
Kuna tafiti nmeona kuna mwaka kama si huu basi jana, wanawake wenye 40's ndo wameongoza kugive birth kuliko age range yoyote
 
Jifundishe mwenyewe sie tunaringa tuu ndoa zetuuuu!!!!!😍😍😍😍😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…