mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 569
Levels...LevelsNimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Wabeba zege ni nyie msiofanya Graduation kubwa, kwa sababu uwezo hamna. Sasa kama kaweza kufanya Graduation kubwa, anashindwa vipi kupata pesa ya Kufungua biashara ya maana. Mwenye pesa na mwenye pesa tu, acha kujifariji na maneno ya kimaskini.Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.
Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika
Wabeba zege ni nyie msiofanya Graduation kubwa, kwa sababu uwezo hamna.... Sasa kama kaweza kufanya Graduation kubwa, anashindwa vipi kupata pesa ya Kufungua biashara ya maana.... Mwenye pesa ni mwenye pesa tu, acha kujifariji na maneno ya kimaskini,Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.
Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika