David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Tafuta pesa uje uwafanyie ayo watoto wako acha hasira zisizo na maana .Ni hivi.
Kwa MTAZAMO wangu, mtoa mada yupo sahihi kwa upande fulani.
Amespecify MWANAUME kufanya sherehe. Tena ya Ukumbini na unaita na MC? nyie mnaona ni sahihi?
Yaan Mwanaume unakaa mbele pale na MC unakuta wa KIKE anaanza kukupamba pamba pale..! Nyie mnaona ni sawa? Ni MWANAUME Mpumbavu ambaye anaweza kuona hilo swala ni Sahihi.
Narudia ni MWANAUME Mpumbavu pekee na aina hii ya Mwanaume baadae kuombwa mzigo/Marinda ni kawaida.