Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hujaona za Komunio?Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea