Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga kwenye mshono mkuu. Wanawake wana shinikizo sana. Huku mtaani kwetu naona hiyo kitu .Narudia tena kuuliza hivi kwann watu wenye hela wakitumiaga hela zao always masikini wanaonaga jamaa hawana akili wanachezea hela
Nadhan umemuelewa mtoa mada tofauti.Narudia tena kuuliza hivi kwann watu wenye hela wakitumiaga hela zao always masikini wanaonaga jamaa hawana akili wanachezea hela
Hii bana sitasahau pia,sikwenda na mdingi maza Ofcourse alikuwepo alikua ticha shule nnayosoma,Graduation niliyofurahia sana ni ya Darasa la Saba,
Chai teaHii bana sitasahau pia,sikwenda na mdingi maza Ofcourse alikuwepo alikua ticha shule nnayosoma,
Kala pilau lake na Fanta kavimbiwa nikampeleka home kulala.
Mi nikarudi ukumbini.
Vyombo vikaangushwa,
Kama unakumbuka kipindi cha O.P.P na inde Monie basi hujachelewa.
E bana kuna mticha mmoja mmaza wa kichaga kanoona jeupee pale skuli alikua ananipa viboko bila sababu.
Nikicheka viboko,
Nikinuna fimbo.
Alafu kila leo ofisini kule ya walimu kunichongea kwa maza
Mtukutu.
Dah e bana kama zari siku hiyo tushavimbiwa pilau letu.
Ticha huyo ananivuta pembeni.
Mi nafkiria viboko tena mpk huku?😅
Kumbe ananivuta tule monde.
Duh aisee kwa mara ya kwanza nikagonga safari biere.
Vichakani hapo kaja nazo aloo stimu likapanda tena "Inde Monie" ya Kanda Bongoman
Tulicheza mpk wengine wanaona hapo hawa wana mapepo,
Kumbe tushazimuka.
Aisee mwishoni ticka kachooka kasema nimrudishe kwao anaogopa.
Huko njiani mpapaso ulioendelea sio wa nchi hii.
Nikala kimasihara,ila ni km alinibaka.
Kumbe ticha alikua na crush na mimi au upwiro tu sijui.
Sasa ukimpenda mtu ndio umchape kila muda?
Yule ticha mchaga namkumbuka mpk kesho.
Ila lilikua zuri limenona balaa.
Umasikini ndio unakusumbua,pambana ukate chain ya umasikini kijanaHamna vilaza ndo wanafanya masherehe
Vipanga hawana time🙏👌
Of course, Haya mambo ya sherehe ni hobby tu.All of my graduations zimefanyika baada ya kumaliza mitihani. Ila Graduation niliyofurahia sana ni ya Darasa la Saba, of course none of my family member alikuja, ni sisi na maticha kwenye bar moja tukamalizia na debe, nakumbuka nilijipongeza na chupa ya castle lager baada ya debe. Ya O-level nayo baada ya shule then tukamalizia club na masela.
A-level washua walipania kuja, nimetoka zangu home kimya kimya nikatimba school tukamaliza, shule niliyokuwa nasoma nilikuwa na wadogo zangu wawili, so jioni wanarudi ndio wanamtonya mother kuwa leo tulikuwa na graduation ya bro, mother akawaka kwanini sijamwambia? Nikampoza akaushe hayo ni mambo madogo.
Sasa picha lilikuja chuo my first degree, nilitimba pale nikavaa joho, baada ya kumaliza nikasepa sikupiga hata picha, sikua hata na ndugu mmoja, alikuwepo demu wangu tu king’ang’anizi akasema LAZIMA aje. Masters ndio kabisa nikaona jau hata sikutimba kwenye majoho……..mambo ya harusi pia nilitupa kule…….kwa kifupi sipendi kabisa sherehe.
Nasikia siku hizi hadi chekechea wanavaa majoho na wazazi wanatimba kwenye kuwaimbia na kuwapigia makofi, dunia imebadirika sana.
Ndio mida yake hii mkuu..Chai tea
Sema tusiwe watu wa kujudge maana hii inatuondolea ile Nguvu ya kuwa sisi tumeenda shuleNi hivi.
Kwa MTAZAMO wangu, mtoa mada yupo sahihi kwa upande fulani.
Amespecify MWANAUME kufanya sherehe. Tena ya Ukumbini na unaita na MC? nyie mnaona ni sahihi?
Yaan Mwanaume unakaa mbele pale na MC unakuta wa KIKE anaanza kukupamba pamba pale..! Nyie mnaona ni sawa? Ni MWANAUME Mpumbavu ambaye anaweza kuona hilo swala ni Sahihi.
Narudia ni MWANAUME Mpumbavu pekee na aina hii ya Mwanaume baadae kuombwa mzigo/Marinda ni kawaida.
Bora wewe ulienda mi sikuwahi vaa joho ktk maisha yangu.Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Hata jamaa zangu huwa wakinialika eti kwenye sherehe ya birthday ya mtoto wa kiume nawaambiaga ukweli nyie ndio mnawasababishia watoto wawe mashoga wanaanza kuiga mambo ya kike.Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Nimeshangaa huyo tena mtoto wa kike anakuwa na chuki na kijana ambaye kaamua kufurahia matunda ya jasho yaani wanawake huwa wanaamini wanaume ni watu wasiohitaji vitu Vizuri na hii wamewaambukiza baadhi ya wanaume wafata upepo .Umasikini ndio unakusumbua,pambana ukate chain ya umasikini kijana
Nimeshangaa huyo tena mtoto wa kike anakuwa na chuki na kijana ambaye kaamua kufurahia matunda ya jasho yaani wanawake huwa wanaamini wanaume ni watu wasiohitaji vitu Vizuri na hii wamewaambukiza baadhi ya wanaume wafata upepo .
Hii ameizungumzia Robert Heriel Mtibeli mara kwa mara kuhusu ubinafsi wa wanawake
Was stakabadhi necessary?[emoji1787]
Hapo ameungaunga kinoma, sijui cheti, mara stashahada, mpaka stakabadhi...
Kesho kutwa tuu nitakuwa Elegance hotel sinza morii to celebrate my success... Your most welcomeNi hivi.
Kwa MTAZAMO wangu, mtoa mada yupo sahihi kwa upande fulani.
Amespecify MWANAUME kufanya sherehe. Tena ya Ukumbini na unaita na MC? nyie mnaona ni sahihi?
Yaan Mwanaume unakaa mbele pale na MC unakuta wa KIKE anaanza kukupamba pamba pale..! Nyie mnaona ni sawa? Ni MWANAUME Mpumbavu ambaye anaweza kuona hilo swala ni Sahihi.
Narudia ni MWANAUME Mpumbavu pekee na aina hii ya Mwanaume baadae kuombwa mzigo/Marinda ni kawaida.