Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Hata jamaa zangu huwa wakinialika eti kwenye sherehe ya birthday ya mtoto wa kiume nawaambiaga ukweli nyie ndio mnawasababishia watoto wawe mashoga wanaanza kuiga mambo ya kike.
Ndio maana unakuta watoto wa kiume siku hizi ni walain sana. Ukimcheck hata ngozi ni lain haina hata kovu. Hata kushika jembe tu hajui. Tumepotea sana
Kheee na wewe upo humu?
Binafsii sihudhurii birthday ya kukata keki. May be kitimoto na bia
Ila graduation nafanya sherehe, course work, test, presentation ue, hio muhimu....

Issue ya mtoto kuwa laini ni mzazi na sio sherehe!!
 
Sema tusiwe watu wa kujudge maana hii inatuondolea ile Nguvu ya kuwa sisi tumeenda shule

Tafsiri yetu ya MAFANIKIO ipo tofauti inawezekana huyo kijana akawa Mtu smart ila alichofanya nikuipa hiyo graduation yake Nguvu kumuhukumu kuwa anaweza kuwa hivi au vile ni wivu tu Muda kuheshimu maamuzi ya Mtu ilimradi avunji sheria.
Kuna mambo hata kama huvunji Sheria ni mambo yakijinga..

Mwanume na ndevu zako unakaa mbele pale kama MISS TANZANIA unamulikwa na taa na camera za kutosha.!

Kwanza kitendo cha MWANUME kuwaza graduation yangu iwe hivi au iwe vile ni upumbavu.. WANAUME hatuishi hivyo. Ndio maana kila siku WANAUME tunazidi kupungua.
 
Issue ni mwanaume kifanya sherehe hasa kwa Tanzania ya sasa ambayo degree inekuwa kitu cha kawaida.
Shida umaskini degree eti za kawaida sababu nyingi hivyo eti hamna haja ya sherehe

Birthday mbona nyingi kuliko degree na watu wanafanya kila mwaka mtu yule yule kila mwaka anafanya birthday tena wengine kwenye kumbi kabisa

Tafuta hela
 
Watu kama wewe mna wivu wa kijinga sana aisee. Mtu anaweza kuwa kasoma Jordan na akawa na mchongo wa maana tu. Mwaka 2018 nilikuwa na mgahawa ambapo aliyekuwa anapika bites ni graduate wa Bcom UDSM.
Kukosa hela tatizo sana

Unafika hatua ya kutaka kuishi kwa

Kuwa pangia watu namna ya kuishi na

Kufanya

Ova
 
Back
Top Bottom