Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Toka 2015 sijapata ajira... Sihukumu maisha ya watu wengine eti kwa sababu tu wanatumia hela zao kwa namna ambayo mimi sipendi

I dont care at all about what other people do...
Hawajavunja sheria wala maadili...

Tena ningekuwepo karibu ningeenda kuwapa support kubwa sana ya kula wali na kujimiminia mabia
 
Nilichojifunza hapa ni hiki..
wanadamu hatuwezo kufanana...
Na huwezi jifananisha wewe na mtu mwingine, yaani...
Kuna mtu anapenda mpira,kuna mtu anapenda mziki,mwingine pombe na mwingine wanawake , n.k yaani hatuwezi kufanana..
NB: Sijahusisha pesa... coz kunawatu hawanapesa but kila siku wanalewa chakali,kuna watu wanapesa hawajawai fanya hata Birthday party. Kama IQ yako kubwa umenielewa
 
Hayo yalikuwa maoni yangu! kuna wengine pesa wanazo na bado hawaoni sababu ya kufanya na hasa kwa wanaume.

Bado naamini, kufanya birthday kwa mwanaume sio sahihi sana, labda awe amefika miaka kuanzia 80.

Birthdays tuwaachie wanawake.
Tatizo hela tafuta hela

Unasherehekea uhuru nchi.ilipopata kila mwaka halafu uache kusherehekea birthday uwe mwanaume au mwanamke itakuwa akili hazimo na watoto kama unao hawatakuelewa

Siku ya birthday watoto.,mke nk huwa siku yao.ya kufutahia kuzaliwa mume na baba yao

Sasa siku hiyo.mume wa mtu na baba watoto unaamka umenuna tu ohh sihitaji birthday utaonekana kituko hapo ndani

Sema makuzi pia na background zinachangia jitu limezaliwa porini huko vichakani halijawahi ona baba yake au bibi au mama yake au babu wakisherehekea Birthday likikuta watu wanafanya hivyo mj8ni linashangaa Shangaa na kupinga
 
Wanaume wanaosapotii mambo km Haya mkuu kwa asilimia kubwa ni wale japo ni wa kishua inawezekana kwa upande mwngn ambao kwa asilimia kubwa weng wao ni watoto wa mama, tough moments hawazijui kiaina.

Kwahyo wao trendy yyte inayowajia machoni Pao wao huwa hawana criticism yyte juu yake, wana kauli yao ile ya " live Your Life" .Sasa mtu akiwa na mindset km hiyo kwakweli alafu mtoto wa kiume hata kuwa papai it's not that hard.
Exactly..... na ndio hao hao wanapata wanawake then wanawaomba wawapige finger
 
Kuna ubaya gani akifanya sherehe? Ulipata faida gani kwenda kwenye game ya Man Utd baada ya graduation?
Alikuwa amebaki na jero 😁 wazazi wamemsusa pesa hawana yeye mwenyewe Hana kitu kasoma kwa shida hapo wazazi wanawaza anamaliza lini tupumue

By the way kukosa sio dhambi angekausha tu sio kuja kuanzisha thread
 
Wanaume wanaosapotii mambo km Haya mkuu kwa asilimia kubwa ni wale japo ni wa kishua inawezekana kwa upande mwngn ambao kwa asilimia kubwa weng wao ni watoto wa mama, tough moments hawazijui kiaina.

Kwahyo wao trendy yyte inayowajia machoni Pao wao huwa hawana criticism yyte juu yake, wana kauli yao ile ya " live Your Life" .Sasa mtu akiwa na mindset km hiyo kwakweli alafu mtoto wa kiume hata kuwa papai it's not that hard.
Kwani kuna tuzo za kupitia tough moments? Kuwa mtoto wa kiume haupaswi kusherehekea achievements zako? Kuhusu ushoga ni kuwa nyie mnaojifanya kupinga bila hoja ndo mnaufanya kwa siri. Hizo kauli zenu ni za kupoteza watu wasiwashtukie.
 
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Kawaida sana....
 
Kuna mambo hata kama huvunji Sheria ni mambo yakijinga..

Mwanume na ndevu zako unakaa mbele pale kama MISS TANZANIA unamulikwa na taa na camera za kutosha.!

Kwanza kitendo cha MWANUME kuwaza graduation yangu iwe hivi au iwe vile ni upumbavu.. WANAUME hatuishi hivyo. Ndio maana kila siku WANAUME tunazidi kupungua.
Mara nyingi watu mnaopambana kuthibitisha uanaume ndo huwa mnapumuliwa kwa siri. Haya makelele mnayopiga ni kama kujihami tusiwashtukie. Kama ni mwanaume huna haja ya kutaka watu wajue wewe ni mwanaume kwa kupinga hadi graduation.
 
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Huyo kijana ni wa Dar, Zanzibar, au Tanga, fafanua maana hawa vijana wana sifa zao ambazo zinawafaa wao wenyewe.
 
Kwani kuna tuzo za kupitia tough moments? Kuwa mtoto wa kiume haupaswi kusherehekea achievements zako? Kuhusu ushoga ni kuwa nyie mnaojifanya kupinga bila hoja ndo mnaufanya kwa siri. Hizo kauli zenu ni za kupoteza watu wasiwashtukie.
Huu umaskini utafunya mpaka tuwachukie wenye nacho [emoji1]
Hii kali sana aise

Ova
 
Huu umaskini utafunya mpaka tuwachukie wenye nacho [emoji1]
Hii kali sana aise

Ova
Mzee wa Kino mtoto wako aliyefanikiwa kufuata malezi yako hadi kafika level ya chuo kikuu salama na kuhitimu utaacha kumfanyia kasherehe hata kidogo?
 
Hata haya mambo ya kulishana keki kwenye sherehe mi naonaga ni umama. Mtoto wa kiume umeinua limdomo ulishwe keki utafikir ng'ombe dume amenusa mbususu ya jike
 
Back
Top Bottom