DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yes Upo sahihiLevel ya Diploma vipi? 🤔
Binafsi naonaga kijana angalau akiwa na Diploma ana dira kidogo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Upo sahihiLevel ya Diploma vipi? 🤔
Binafsi naonaga kijana angalau akiwa na Diploma ana dira kidogo...
KabisaKama hawajakuomba mchango basi hayakuhusu
Waache watu na maamuzi yao
Tatizo hela tafuta helaHayo yalikuwa maoni yangu! kuna wengine pesa wanazo na bado hawaoni sababu ya kufanya na hasa kwa wanaume.
Bado naamini, kufanya birthday kwa mwanaume sio sahihi sana, labda awe amefika miaka kuanzia 80.
Birthdays tuwaachie wanawake.
Exactly..... na ndio hao hao wanapata wanawake then wanawaomba wawapige fingerWanaume wanaosapotii mambo km Haya mkuu kwa asilimia kubwa ni wale japo ni wa kishua inawezekana kwa upande mwngn ambao kwa asilimia kubwa weng wao ni watoto wa mama, tough moments hawazijui kiaina.
Kwahyo wao trendy yyte inayowajia machoni Pao wao huwa hawana criticism yyte juu yake, wana kauli yao ile ya " live Your Life" .Sasa mtu akiwa na mindset km hiyo kwakweli alafu mtoto wa kiume hata kuwa papai it's not that hard.
Alikuwa amebaki na jero 😁 wazazi wamemsusa pesa hawana yeye mwenyewe Hana kitu kasoma kwa shida hapo wazazi wanawaza anamaliza lini tupumueKuna ubaya gani akifanya sherehe? Ulipata faida gani kwenda kwenye game ya Man Utd baada ya graduation?
Soma comment no 17Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.
Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika
Kwani kuna tuzo za kupitia tough moments? Kuwa mtoto wa kiume haupaswi kusherehekea achievements zako? Kuhusu ushoga ni kuwa nyie mnaojifanya kupinga bila hoja ndo mnaufanya kwa siri. Hizo kauli zenu ni za kupoteza watu wasiwashtukie.Wanaume wanaosapotii mambo km Haya mkuu kwa asilimia kubwa ni wale japo ni wa kishua inawezekana kwa upande mwngn ambao kwa asilimia kubwa weng wao ni watoto wa mama, tough moments hawazijui kiaina.
Kwahyo wao trendy yyte inayowajia machoni Pao wao huwa hawana criticism yyte juu yake, wana kauli yao ile ya " live Your Life" .Sasa mtu akiwa na mindset km hiyo kwakweli alafu mtoto wa kiume hata kuwa papai it's not that hard.
Kawaida sana....Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Mara nyingi watu mnaopambana kuthibitisha uanaume ndo huwa mnapumuliwa kwa siri. Haya makelele mnayopiga ni kama kujihami tusiwashtukie. Kama ni mwanaume huna haja ya kutaka watu wajue wewe ni mwanaume kwa kupinga hadi graduation.Kuna mambo hata kama huvunji Sheria ni mambo yakijinga..
Mwanume na ndevu zako unakaa mbele pale kama MISS TANZANIA unamulikwa na taa na camera za kutosha.!
Kwanza kitendo cha MWANUME kuwaza graduation yangu iwe hivi au iwe vile ni upumbavu.. WANAUME hatuishi hivyo. Ndio maana kila siku WANAUME tunazidi kupungua.
Huyo kijana ni wa Dar, Zanzibar, au Tanga, fafanua maana hawa vijana wana sifa zao ambazo zinawafaa wao wenyewe.Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Umechekaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu umaskini utafunya mpaka tuwachukie wenye nacho [emoji1]Kwani kuna tuzo za kupitia tough moments? Kuwa mtoto wa kiume haupaswi kusherehekea achievements zako? Kuhusu ushoga ni kuwa nyie mnaojifanya kupinga bila hoja ndo mnaufanya kwa siri. Hizo kauli zenu ni za kupoteza watu wasiwashtukie.
Mzee wa Kino mtoto wako aliyefanikiwa kufuata malezi yako hadi kafika level ya chuo kikuu salama na kuhitimu utaacha kumfanyia kasherehe hata kidogo?Huu umaskini utafunya mpaka tuwachukie wenye nacho [emoji1]
Hii kali sana aise
Ova
Yes, umasikini hutengeneza chuki. SononaUmasikini ndio unakusumbua,pambana ukate chain ya umasikini kijana