Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Bora hata ww umeenda kufanya mm mwaka niliograduate sikwenda kufanya sherehe. Nilivyoona matokeo yangu ya semister ya mwisho yako poa nikajisemea hii ndio graduation yangu. Wenye chapaa mingi acha wachome hela
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
 
,🤣🤣afu graduation ya kilaza mwenye gpa ya 2.0 🤣🤣pulizz debe tupu haliachi kutika
Ila msamehe kwenye ukoo wao wote yeye ndo kasoma Jordan University 🤣🤣🤣
Watu kama wewe mna wivu wa kijinga sana aisee. Mtu anaweza kuwa kasoma Jordan na akawa na mchongo wa maana tu. Mwaka 2018 nilikuwa na mgahawa ambapo aliyekuwa anapika bites ni graduate wa Bcom UDSM.
 
We bana fanya kitu kwa unachokiweza.
Mnaweza kwenda na mwanao kwa mama ntilie mkagonga wali maharage utaongeza nyama ukiweza.
Mnashushia maji ya uhai,ya kilimanjaro anasa
imeisha hiyo.
Mi graduation ya kijana tulipiga lunch mtu 10 tu.
Hakuna sherehe badae tukawaambia vijana mmeshiba ndio.
Potea.
Wazee tukabaki gonga gambe letu km kawa zungusha,
Na mwingine anazungusha.
Hutaki tunakuzungushia.
Siku ikaisha.
Hakuna mchango wala invitation ni shot notice tu.
 
Unafanya Graduation kubwa halafu unaishia kuwa mbeba zege kitaa.

Inaleta huzuni Sana labda awe wa mboga Saba na connection za uhakika
Watu wasifurahia hatua sababu hawajui siri ya maisha ya baadae.

Sema kinachotukwamisha ni dhiki tulizo nazo, ila kumpongeza mwanao, amehitimu masomo, ama amefikia hatua fulani ni vyema, ili kumpa motisha.
Na hii tabia ya watu walioendelea.
 
We bana fanya kitu kwa unachokiweza.
Mnaweza kwenda na mwanao kwa mama ntilie mkagonga wali maharage utaongeza nyama ukiweza.
Mnashushia maji ya uhai,ya kilimanjaro anasa
imeisha hiyo.
Mi graduation ya kijana tulipiga lunch mtu 10 tu.
Hakuna sherehe badae tukawaambia vijana mmeshiba ndio.
Potea.
Wazee tukabaki gonga gambe letu km kawa zungusha,
Na mwingine anazungusha.
Hutaki tunakuzungushia.
Siku ikaisha.
Hakuna mchango wala invitation ni shot notice tu.
Angalau uliomuonyesha Unamjali ila, dhiki zimeandama nawe, ndiyo maana hujafanya pakubwa.
 
,[emoji1787][emoji1787]afu graduation ya kilaza mwenye gpa ya 2.0 [emoji1787][emoji1787]pulizz debe tupu haliachi kutika
Ila msamehe kwenye ukoo wao wote yeye ndo kasoma Jordan University [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
All of my graduations zimefanyika baada ya kumaliza mitihani. Ila Graduation niliyofurahia sana ni ya Darasa la Saba, of course none of my family member alikuja, ni sisi na maticha kwenye bar moja tukamalizia na debe, nakumbuka nilijipongeza na chupa ya castle lager baada ya debe. Ya O-level nayo baada ya shule then tukamalizia club na masela.

A-level washua walipania kuja, nimetoka zangu home kimya kimya nikatimba school tukamaliza, shule niliyokuwa nasoma nilikuwa na wadogo zangu wawili, so jioni wanarudi ndio wanamtonya mother kuwa leo tulikuwa na graduation ya bro, mother akawaka kwanini sijamwambia? Nikampoza akaushe hayo ni mambo madogo.

Sasa picha lilikuja chuo my first degree, nilitimba pale nikavaa joho, baada ya kumaliza nikasepa sikupiga hata picha, sikua hata na ndugu mmoja, alikuwepo demu wangu tu king’ang’anizi akasema LAZIMA aje. Masters ndio kabisa nikaona jau hata sikutimba kwenye majoho……..mambo ya harusi pia nilitupa kule…….kwa kifupi sipendi kabisa sherehe.

Nasikia siku hizi hadi chekechea wanavaa majoho na wazazi wanatimba kwenye kuwaimbia na kuwapigia makofi, dunia imebadirika sana.
 
Hamna vilaza ndo wanafanya masherehe
Vipanga hawana time🙏👌
HIvi hizo sherehe wanaziandaa wenyewe, au wanafanyiwa, ivi kuna mzazi anaendaa sherehe kumpongeza mtoto alie feli?

Mkuu haya mambo ya kumpongeza aliefanya vizuri ni kizungu, Sisi tumeiga toka kwao, sema sisi dhiki zimetuandama, ndiyo maana tunapuuzia, unajua sisi wenye dhiki tuna makasiliko, wivu, chuki na majungu.
 
Back
Top Bottom