Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Mtu anaefanya Graduation wala sio jambo baya na wala silipondei ila MIMI SIJAWAHI FANYA GRADUATION yoyote ile wala Birthday huwa sisheherekei
Nakubali, mwenyewe huwa sishangai wanaofanya ila mi sijawahi kufanya sherehe ya graduation mpaka chuo na sio kwamba uchumi ulizuia, familia walipania ila mi niliwayeyusha. Binafsi naonaga haya mambo ni scam tu
 
haijaniuma nimeshangaa kijana wa kiume kufanyiwa party kubwa kisa graduation mixer kupewa maua
Kuna sheria ya Mungu au ya jamhuri inavunjwa pale kijana wa kiume anapofanya sherehe ya graduation? Mkuu pambana sana utoke kwenye hilo giza la chuki na wivu. Halafu wengine hufanyiwa sherehe kutokana na kuishi tu vizuri na watu na wala sio kwamba wametoka familia tajiri. Mimi binafsi siku ya graduation sikuwa nimejipanga kwa sherehe ila nikashangaa surprise toka kwa boss wangu niliyekuwa nimejishikiza kazi. Aligharamia hadi ukumbi. Nakumbuka nilimbeba na jamaa yangu mmoja aliyekuwa kama wewe kwenda kuangalia game kwasababu hakuwa na kitu.
 
wewe ulimaliza chuo ukiwa na miaka 35 unataka ufanyiwe mahafali ili iweje? tenq umetoka uko interior vijijini kyala mpala..sisi watoto wetu wanamaliza chuo wakiwa bado wadogo miaka 23 mahafali ni lazima
Ongezaaa sautiiiiii. [emoji350][emoji350]
 
Halafu unakuta dude lenyewe ni likilaza la ma sapu , c zakumwaga siku likitoboa kimazabe ndio utashangaa limekusamya ukoo mzima halafu linarudi nyumbani pamoja na mbwembwe zote ajira chwee linakuwa lipo nyumbani tuu kuendesha magari ya mshua
 
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man utd kama hakuna kilichotokea
Ukiona jamboo halikupunguziii au kukuongezea kitu na unalalamika kuna shida hapoo.... Maisha ni yao acha waenjoy
 
Back
Top Bottom