Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Nimeumia sana jamani ..hapana mbane aseme. Uwi tumbo limeuma😭
 
Kuna hawa wazazi wanaopeleka watoto zao chini ya 18 kwenda boarding schools

Endeleen
Mnacho kitafuta mtakipata

Kwa kigezo cha busy
 
Kwenye shule hizi za kidumu na ufagio hali ni tete,yaani hata wa madarasa ya juu wa na awala wa madarasa ya chini
 
Bado nahisi napaswa kumbwambia babà mtoto anipe go ahead na tukadiliane Kipi cha kufanya hata kama yuko mbali.

Hii ni kama famililia yangu lakini bila kimwambia yeye na nikafanya kwa utashi wangu nitakua nimekosea.

Nitashauri mke wake amwambie Kisha tuahirikishane nipate fully authority ya kulivaa hili jambo.

NITAWAPA MREJESHO KESHO JIONI.
 
Asante rafiki,nimewambia mkewe amwambie babà watoto mwenyewe kisha anijilishe.

Msichokijua mimi ni babà wa ubatizo wa huyu kijana.
 
UZUSHI. Mbona we uliingiliwa kinyume na kwa sasa upo fine
 
Mke WA rafiki YAKO je rafiki Yuko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…