Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Ukikorofishana na huyu, unapata mwingine
 
Na hao wa miaka 40+ wakioa huwa wanasumbuana na wake zao maana anajua mpaka nusu ya nyama anaweka chumvi kiasi gani,lita ya mafuta inakaa mda gani,kipande cha sabuni kinafua nguo ngapi n.k
 
😂😂😂
 
Hiyo migendaeka unaiitaje vijana? 😹
Yani huyo babu akafanane na Chinno wangu mwenye 35 wee jiheshimu 😹😹😹
 
Tatizo noti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…