Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Wanasema, kuwa na mwenza ni zaidi ya tendo
Hapo nimekujibu kuhusu hisia/tamaa za kimwili ambazo naweza kwenda kuzimalizia hata Barbershop
Nadhani ikitokea nimeachana na huyu mwanamke niliyenaye sitooa tena

Nitaajiri mfanyakazi awe ananisaidia kazi hapa ndani
 
Ukikorofishana na huyu, unapata mwingine
Ni kweli ila maisha hayajawahi kuwa sawa kwa watu wote. Ukiwa kwenye ndoa leo usimcheke ambaye hayupo maana kuna watu wao kwenye ndoa lakini wanamaumivu makubwa sana ya kusalitiana
Wengine jana tu wameachana baada ya kudumu kwenye ndoa miaka 5
 
Sioni cha maana hapa, nipo Congo, familia ipo Singida,napiga mishe, 30M, kwa mwezi, familia inakuja watoto wwkifunga shule, I don't see any problem
 
Kusitishwa kwa usaid itasaidia sana vijana wetu wasipotee
Vijana walishapotea siku nyingi acheni kusingizia wazungu mjomba tembea dunian uone. Tuache tabia za kiswahili kila kitu kulalamika. Huko asia jamii zile zilizoamua kuchukua hatua kwa kuacha kulalamika zinaendelea kwa kasi mpaka mzungu wanatishika imebaki afrika tu wazee wa kulalamika
 
Aseee kataa ndoa mwenyewe ameo na anamichepuko 3 yote anamihadinayo ya wake wapili
 
Hapo nimekujibu kuhusu hisia/tamaa za kimwili ambazo naweza kwenda kuzimalizia hata Barbershop
Nadhani ikitokea nimeachana na huyu mwanamke niliyenaye sitooa tena

Nitaajiri mfanyakazi awe ananisaidia kazi hapa ndani
Ikitokea umevunjika kiuno, ni nani atakayekuwa anakusafisha pale kitandani?
 
Sioni cha maana hapa, nipo Congo, familia ipo Singida,napiga mishe, 30M, kwa mwezi, familia inakuja watoto wwkifunga shule, I don't see any problem
Kwa hiyo bado unajipikilisha na kujifulia?
 
Kuna tatizo mahali
 
Kwa hiyo unawafundisha wawe wavivu?
 
Ndoa ni muhimu, chukulia mfano umepata ajali ukateguka kiuno, unafikiri ni nani atakuwa anakutawaza?
Hakosekani mtu atakayekutunza,wapi uliwaikuona mtu kama huyo akakakosa muangalizi. Ndoa siyo kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…