Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mkuu wanawake wote hawa!!! Kama mimi nipo na mke ila nikihitaji wa kukata kiu ni kupiga simu tuUnatakiwa utafute mbadala, vinginevyo tuambie; hisia zako huwa unazimalizia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wanawake wote hawa!!! Kama mimi nipo na mke ila nikihitaji wa kukata kiu ni kupiga simu tuUnatakiwa utafute mbadala, vinginevyo tuambie; hisia zako huwa unazimalizia wapi?
Wazee wetu mbona waliweza?Tatizo noti
Ujumbe umefika
Wanasema, kuwa na mwenza ni zaidi ya tendoMkuu wanawake wote hawa!!! Kama mimi nipo na mke ila nikihitaji wa kukata kiu ni kupiga simu tu
Vichenchede vya siku hizi tamaa nyingi sana na mkwanja hautoshi. Demu anataka Leroy Musigny Grand Cru, Cote de Nuits, France utaiweza Bei yake?Wazee wetu mbona waliweza?
Wazee wetu mbona waliweza?
Hapo nimekujibu kuhusu hisia/tamaa za kimwili ambazo naweza kwenda kuzimalizia hata BarbershopWanasema, kuwa na mwenza ni zaidi ya tendo
Yes ujana mwisho 45 .Kuna kijana wa 40+?
Sisi wengine wagane hatuna tàtizo mahali popote.
Ni kweli ila maisha hayajawahi kuwa sawa kwa watu wote. Ukiwa kwenye ndoa leo usimcheke ambaye hayupo maana kuna watu wao kwenye ndoa lakini wanamaumivu makubwa sana ya kusalitianaUkikorofishana na huyu, unapata mwingine
Utani wa ngumi uhuuu
Sioni cha maana hapa, nipo Congo, familia ipo Singida,napiga mishe, 30M, kwa mwezi, familia inakuja watoto wwkifunga shule, I don't see any problemKama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Haoni aibu kabisa....Acheni kupangia watu maisha yao.
Vijana walishapotea siku nyingi acheni kusingizia wazungu mjomba tembea dunian uone. Tuache tabia za kiswahili kila kitu kulalamika. Huko asia jamii zile zilizoamua kuchukua hatua kwa kuacha kulalamika zinaendelea kwa kasi mpaka mzungu wanatishika imebaki afrika tu wazee wa kulalamikaKusitishwa kwa usaid itasaidia sana vijana wetu wasipotee
Wazuri wa nini?Ila ndio wazurii
Ikitokea umevunjika kiuno, ni nani atakayekuwa anakusafisha pale kitandani?Hapo nimekujibu kuhusu hisia/tamaa za kimwili ambazo naweza kwenda kuzimalizia hata Barbershop
Nadhani ikitokea nimeachana na huyu mwanamke niliyenaye sitooa tena
Nitaajiri mfanyakazi awe ananisaidia kazi hapa ndani
Kwa hiyo bado unajipikilisha na kujifulia?Sioni cha maana hapa, nipo Congo, familia ipo Singida,napiga mishe, 30M, kwa mwezi, familia inakuja watoto wwkifunga shule, I don't see any problem
Kuna tatizo mahaliVijana walishapotea siku nyingi acheni kusingizia wazungu mjomba tembea dunian uone. Tuache tabia za kiswahili kila kitu kulalamika. Huko asia jamii zile zilizoamua kuchukua hatua kwa kuacha kulalamika zinaendelea kwa kasi mpaka mzungu wanatishika imebaki afrika tu wazee wa kulalamika
Kwa hiyo unawafundisha wawe wavivu?Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Hili neno sasaAnachohitaji ni mfanyakazi na si mke.
Hakosekani mtu atakayekutunza,wapi uliwaikuona mtu kama huyo akakakosa muangalizi. Ndoa siyo kila kitu.Ndoa ni muhimu, chukulia mfano umepata ajali ukateguka kiuno, unafikiri ni nani atakuwa anakutawaza?