joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
So lazima hayo yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mheshimiwa SuguSo lazima hayo yote
Kwanza nicheke, unaishi kwa kukalili usipobadilika utaishi kwa stress,.. Hakuna sheria iliyowekwa kwamba ukishakuwa mwanaume lazima uwe unaishi kwa kufanya vyote ivyo ni vile jamii zimetawaliwa na dhana izo na si lazima kuishi kwa kufuata dhana izo... Be you.Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
NB: USISAHAU KUREACT NIJUE UZI UMEKUPATAJE APO
STATUS : Makasiriko 1
LIKE 4
Usicheke mkuu,Kwanza nicheke, unaishi kwa kukalili usipobadilika utaishi kwa stress,.. Hakuna sheria iliyowekwa kwamba ukishakuwa mwanaume lazima uwe unaishi kwa kufanya vyote ivyo ni vile jamii zimetawaliwa na dhana izo na si lazima kuishi kwa kufuata dhana izo... Be you.
Achana na izo dhana broUsicheke mkuu,
Ni huzuni kwakweli
Sawa sawa kiongozi🤝Achana na izo dhana bro
Huyu anafanya kazi TIGO ....makao makuu .... hawezi penda mpira ndo wafanyakazi wa TIGO walivyoMimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
NB: USISAHAU KUREACT NIJUE UZI UMEKUPATAJE APO
STATUS : Makasiriko 1
LIKE 4
Sory Mpra upo huo ambao haupendi?Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
NB: USISAHAU KUREACT NIJUE UZI UMEKUPATAJE APO
STATUS : Makasiriko 1
LIKE 4
Hufuatilii mpira wala ndondi ila unawajua na kufuatilia wachezaji mapunga, lazima wewe shoga mwenzao..Si kweli labda nilikua natetea mawazo huru! siwezi tetea iko kitu
Lakin mi kuna wachezaji na wafuatiliaji mpira na ndondi ni mapunga nawajua.
So hiyo si hoja
Huyu mimi kabisa yani sina mda na hayo mavituMimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
NB: USISAHAU KUREACT NIJUE UZI UMEKUPATAJE APO
STATUS : Makasiriko 1
LIKE 4
😂😂😂🤝🤝🤝Huyu mimi kabisa yani sina mda na hayo mavitu
Sawa nitamuona dakitarUna tatizo la Afya ya akili
Hayo maneno tu babuuu!!Hufuatilii mpira wala ndondi ila unawajua na kufuatilia wachezaji mapunga, lazima wewe shoga mwenzao..