Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!

Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.

Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.

Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!

Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?

Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
Kila mtu kuna vitu anavyovipenda na ambavyo havipendi, kama mm sipendi nyimbo.
 
😂😂😂😂Aloooooh
Hichi kicheko inaonyesha kabisa umeleft group una lipi la kujitetea!
1000041910.jpg
 
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!

Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.

Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.

Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!

Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?

Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
Ni aina ya ugonjwa wa akili pia.
 
Shughuri zote zinazo waunganisha vijana wa kiume haupo?Lazima Kuna tatizo?
 
Back
Top Bottom