Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
Ni sawa kutiliwa mashaka😂😂😂Kuna Uzi wako watu walikutilia mashaka sana, muda utaamua tu kama masega bado yapo
Hao ambao hawatiliwi mashaka ndo shida yenyewe…..Ngoja ukue utakuja kuona mambo yako tofauti sana na yanavoonekana