Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia, na sipendi kabisa kusikia story za mipira na pombe..kidogo nafuatilia siasa na mambo yangu sasa.Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
I guess unapenda sana indoor life, nature walk na movie tena za kibabePia si mpenzi wa pombe wala mikutano na watu.Sitaki watu wajue kwangu pia.
Hata mi Niko hivo na nafurahia tu,Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
picha gan tena mkuuOkay na picha za twitter ya sasa umeanza kuangalia ukiwa na umri gani' na una uraibu kiasi gani'?
Akili bro si kilaza,,, im good lakin si kua n too smart noHata mi Niko hivo na nafurahia tu,
Ila inabidi uwe na uwezo wa kiakili kidog usiwe mzembe totally
ha ha ha kwakweli kujaribu kufit in ni kaziHata mm naishi maisha kama haya haya uliyotaja. Kimsingi, mm najikubali tu nilivo wala siamni kama kuna tatizo kuwa hivo.
Nilishawahi pia kukariri Wikipedia pages za timu na wachezaji mbalimbali ili tu niweze ku-fit in na age mates wangu... ila sasa.... kilichonikuta achaa.
ilifika muda nikasema nitakazana na vile nilivo... utofauti huo haupaswi kunifanya nijisikie kuwa tofauti.
niliji assess, sipendi kuwa na marafiki, naishi sawa tu
muda naokuwa na amani ni kipindi nikiwa zangu natazama movie au na-design graphics au nacheza games za missions, hapo ndio roho kwaatu! ila mipira sjui mieleka na ndondi. Hapana...
japo vitu vingi navijua kwa sababu niliwahi kusoma sanq kuhusu hayo... zamani
🤣🤣🤣Kama hupendi mchezo wa nyuchi sijui
Hatari😂😂😂sijui kama kuna aisyependa hayo
Kwamba kipimo cha Uanaume ni kufuatilia kitu ambacho huna Interest nacho?
Kufatilia Mpira ama Ndondi zinaongeza nini kwenye Uanaume ama napungukiwa na nini nisipojishughulisha navyo?
KubwaMimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
kwan kuna ubaya gani 🐒Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.
Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.
Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!
Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?
Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
Sasa watu si wawlewa kama wwkwan kuna ubaya gani 🐒
mathalani umesema hupendi hivyo vyote ulovitaja ila labda unapenda ibada, kahawa na kashata, kachori na pweza, draft au bao, kusoma vitabu na kuangalia movie, kuogelea , kuimba na tamthila n k mie naona ni sawa tu, kila mtu na hobie zake 🐒
kwakweliNi kawaida mbona. Mimi binafsi siufeel mpira kivile..! Ila kuna michezo ambayo naipenda vibaya mno kama mbio za vyombo vya moto kama rally, isle of man TT, motoGP, formula 1. Pia ya ngumi napenda UFC na WWE(mieleka).
View attachment 2928090
View attachment 2928092
View attachment 2928093
Kwa hiyo acha kujishtukia, tafuta kitu moyo wako unapenda.