Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Umewajuaje? na kwanini uwafuatilie hao tu wakati umesema hivyo vitu viko kushoto!
Kwaiyo hata taarifa za habar huwasisikilizi??
mkuu kuna tofauti ya kusikia na kusikiliza
Kusikia hata kama hufuatilii utasikia tu
 
PAMOJA NA HAYO NAPENDA KUSHINDA MTANDAONI KUBISHANA NA WATU (kwa kutumia ID fake)

Hii ya marumbano nafanya hapa jf pekee sehemu nyingine kwakua ID zina majina yangu huwezi kuta nachangia kitu
Hivi ndivo vitu nasearch nikiwa Youtube
 

Attachments

  • E8C7E973-06C4-45EB-B128-4780166B7F5B.jpeg
    E8C7E973-06C4-45EB-B128-4780166B7F5B.jpeg
    414.4 KB · Views: 1
  • 55B3C346-9913-4F34-9D4A-FCA4A4E91D49.jpeg
    55B3C346-9913-4F34-9D4A-FCA4A4E91D49.jpeg
    343.8 KB · Views: 2
  • DA1CCCC0-FCB6-41D6-84DD-B015B929EC14.jpeg
    DA1CCCC0-FCB6-41D6-84DD-B015B929EC14.jpeg
    404.5 KB · Views: 1
  • BC7D0BDE-4856-4D8E-A484-531C8F93956F.jpeg
    BC7D0BDE-4856-4D8E-A484-531C8F93956F.jpeg
    744.3 KB · Views: 1
  • C55F7110-8FD9-424E-9C4C-E82FFF1B458D.jpeg
    C55F7110-8FD9-424E-9C4C-E82FFF1B458D.jpeg
    764.2 KB · Views: 1
  • 69CF1F9D-DFC2-41F8-B516-2839A91C628B.jpeg
    69CF1F9D-DFC2-41F8-B516-2839A91C628B.jpeg
    619.9 KB · Views: 1
  • E8A01C98-1C5E-45D4-B415-CC13E42AE995.jpeg
    E8A01C98-1C5E-45D4-B415-CC13E42AE995.jpeg
    1.1 MB · Views: 1
  • E6EE7336-7DF6-481C-9E76-54EDD1A40688.jpeg
    E6EE7336-7DF6-481C-9E76-54EDD1A40688.jpeg
    640.7 KB · Views: 1
  • F30F4DB0-61BF-4561-B60B-F9F414E5B6AE.jpeg
    F30F4DB0-61BF-4561-B60B-F9F414E5B6AE.jpeg
    757.4 KB · Views: 1
Na hata kwenye simu yangu hakuna nyimbo za bongo fleva wala za kizungu. Nyimbo naweza kusikiliza pale ikitoka Tu, lakini sio kudownload na kuendelea kusikiliza.
khaaahh
we nawe muone dakitari
Unaonekana unaloose interest in just 10 minutes
 
Back
Top Bottom