Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!

Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.

Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.

Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!

Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?

Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?
Wazee wa alphabets mnajiuza sana aisee
 
sifutagi mm kitu mkuu ikienda Nalenalo imeenda
Screenshot_20240308-145640_Chrome.jpg
 
First of all shida yako' inaweza ku base kwenye factor 3 hivi.
1.Kuanzia umri mdogo ulikuwa unajichanganya na watoto wenzako Baada ya kubalehe ndio ukaanza tabia tofauti...hii Ina sababu ya kibailogia wala sio upinde.
2.una hasira za karbu na unaona labda watu hawakupendi? Hii ni sababu ya kiroho zaidi.
3.Unachoka haraka kufuatilia vitu kama mpira, discussion, urafiki Huwezi kutulia Dakika 80-90 kuangalia mpira
Una Fanya vitu vingi nusu nusu...hii Ina sababu za mental issue.
....sasa Ipi inakuelezea zaidi?
Mkuu hio ishu ya kua na hasira za kalibu na mambo ya kiroho naomba maelekezo
 
Back
Top Bottom