Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Kwanza nicheke, unaishi kwa kukalili usipobadilika utaishi kwa stress,.. Hakuna sheria iliyowekwa kwamba ukishakuwa mwanaume lazima uwe unaishi kwa kufanya vyote ivyo ni vile jamii zimetawaliwa na dhana izo na si lazima kuishi kwa kufuata dhana izo... Be you.
 
Usicheke mkuu,
Ni huzuni kwakweli
 
Sioni kama hilo ni tatizo, huo ni mfumo wa maisha yako ndugu. Siyo lazima ufanane na wengine, mtu wa tofauti lazima tu awepo. Ishi maisha yako.
 
Huyu anafanya kazi TIGO ....makao makuu .... hawezi penda mpira ndo wafanyakazi wa TIGO walivyo
 
Sory Mpra upo huo ambao haupendi?
Utakufa Mapema sana angalia siyo Kila mtu ana AFYA Njema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
 
Reactions: 511
Sijui nacheka nini 😁😁 hii jamaa kila kitu kwake hakipandi alafu hataki watu waende kwake πŸ™„
 
Si kweli labda nilikua natetea mawazo huru! siwezi tetea iko kitu

Lakin mi kuna wachezaji na wafuatiliaji mpira na ndondi ni mapunga nawajua.

So hiyo si hoja
Hufuatilii mpira wala ndondi ila unawajua na kufuatilia wachezaji mapunga, lazima wewe shoga mwenzao..
 
Huyu mimi kabisa yani sina mda na hayo mavitu
 
Hufuatilii mpira wala ndondi ila unawajua na kufuatilia wachezaji mapunga, lazima wewe shoga mwenzao..
Hayo maneno tu babuuu!!
wachezaji maarufu nawajua
Messi
Christian
Boko
Mayele
nk.
Kuwajua na kufuatilia ni tofauti
shida una akili kisoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…