Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Vijana chukueni huo mchongo, acheni umama na umarekani wa kimasikini[emoji41]
Ninakumbuka baada ya kumaliza chuo, nilikosa cha kufanya, nikapata mchongo wa kuwa kijana wa shambani (hekari 500).

Japo hapakuwa na maslahi mazuri ila nilijifunza sana kuhusu kilimo na kumiliki ardhi na namna ya kutunza umiliki wa shamba na mashamba yenyewe.

Sasa hivi nina uthubutu wa kumiliki ardhi na kufanya kilimo peke yangu
 
sema changamoto unaweza kununua, later on unaambiwa ni hifadhi ya taifa.

but nimenotice kitu hapa
 
Huyu kaja na story kabisa ya kusikitisha😂😂😂😂.
 
Kama una hela kanunue mkamba Kuna sehem inaitwa mtembela
 
Si unaweza kununua tena jingine huko ukawa na mawili? Au ukauza hilo la Chalinze na kwenda kununua huko.
 
Mkuu karibu kama utaishi hapo sina mashaka wala sina kikwazo.

Nipo tayari kukusaidia ufanye utakacho sina limit nahtaji tu eneo likae safi na sio vichaka vichaka.

Ufugaji una baraka zangu zote hata kilimo pia japo mimi na kilimo hapana ila kwa yeyote atakae kaa hapo ruksa kufanya apendacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…