Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya Karibu KisaraweNaenda badili jinsi
Ninakumbuka baada ya kumaliza chuo, nilikosa cha kufanya, nikapata mchongo wa kuwa kijana wa shambani (hekari 500).Vijana chukueni huo mchongo, acheni umama na umarekani wa kimasikini[emoji41]
sema changamoto unaweza kununua, later on unaambiwa ni hifadhi ya taifa.Ardhi ya Kisarawe ni mali kuliko wilaya zote za Mkoa wa Pwani.
Mwenyewe ninajilaumu kwanini nilienda kununua Vigwaza-Chalinze.
Ukifika pale Kisarawe mjini kuna bango lina tangazo la mashamba ya laki 4.
Nimewahi kuitiwa shamba la laki na 90 huko Kisarawe.
Sijui vijana wanakwama wapi.
Changamoto ni kwamba mashamba kama haya mengine ni bodaboda pekee ama trekta inafika huko.
Ni mpaka uwe na passion na mashamba ndiyo utaona raha yake.
Huyu kaja na story kabisa ya kusikitisha😂😂😂😂.Ninakumbuka baada ya kumaliza chuo, nilikosa cha kufanya, nikapata mchongo wa kuwa kijana wa shambani (hekari 500).
Japo hapakuwa na maslahi mazuri ila nilijifunza sana kuhusu kilimo na kumiliki ardhi na namna ya kutunza umiliki wa shamba na mashamba yenyewe.
Sasa hivi nina uthubutu wa kumiliki ardhi na kufanya kilimo peke yangu
Ni mwenyeji kidogoMwenyejiiiii, umetaja moja ya eneo hapooo
Tunakujua wewe... Ule mzigo wako bandari ushauklia?. Lile vanguard lako nasikia umelihonga.. Ile bilion saba ulitowekeza pale exim mwaka huu ni miaka mingapi vile?Masikini hatakiwi kua na mbwembwe mzee.
Kama una hela kanunue mkamba Kuna sehem inaitwa mtembelaArdhi ya Kisarawe ni mali kuliko wilaya zote za Mkoa wa Pwani.
Mwenyewe ninajilaumu kwanini nilienda kununua Vigwaza-Chalinze.
Ukifika pale Kisarawe mjini kuna bango lina tangazo la mashamba ya laki 4.
Nimewahi kuitiwa shamba la laki na 90 huko Kisarawe.
Sijui vijana wanakwama wapi.
Changamoto ni kwamba mashamba kama haya mengine ni bodaboda pekee ama trekta inafika huko.
Ni mpaka uwe na passion na mashamba ndiyo utaona raha yake.
Si unaweza kununua tena jingine huko ukawa na mawili? Au ukauza hilo la Chalinze na kwenda kununua huko.Ardhi ya Kisarawe ni mali kuliko wilaya zote za Mkoa wa Pwani.
Mwenyewe ninajilaumu kwanini nilienda kununua Vigwaza-Chalinze.
Ukifika pale Kisarawe mjini kuna bango lina tangazo la mashamba ya laki 4.
Nimewahi kuitiwa shamba la laki na 90 huko Kisarawe.
Sijui vijana wanakwama wapi.
Changamoto ni kwamba mashamba kama haya mengine ni bodaboda pekee ama trekta inafika huko.
Ni mpaka uwe na passion na mashamba ndiyo utaona raha yake.
Mkuu karibu kama utaishi hapo sina mashaka wala sina kikwazo.Mkuu, utaniruhusu kufanya shughuli zangu nyingine...? Nje ya mji...? Maana mimi ni boda boda ila kupitia hapo nimeona kuna fursa ya kilimo ambacho tunaweza kufanya hata kulima mahindi... ukasponsor tukagawana.
Inshort napenda sana kilimo kama upo seriously naomba tuwasiliane .
Ni wapi huko? HUko huko Kisarawe?Kama una hela kanunue mkamba Kuna sehem inaitwa mtembela
Huko ni mkuranga, Kuna eneo moja tata mnooooo.. ukilima mpunga miaka 3 utakuja hapa kuongea lugha nne kuu duniani.Ni wapi huko? HUko huko Kisarawe?
La Chalinze nalo strategic; umeme na maji vipo karibu japo hapana rutuba kama Kisarawe.Si unaweza kununua tena jingine huko ukawa na mawili? Au ukauza hilo la Chalinze na kwenda kununua huko.
Tushangae pamoja Aseee...Maisha hayajawahi kuwa sawa nakwambia.Yaani nyumba bure, chakula bure, mshahara juu bado unauliza umeme 🙄