Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Mimi sasa ndio nipo serious zaidi yako hadi nimefungua UZI unahisi nani kamzdi mwenzake u serious?

Solar tutatumia ya jirani bwana aaah hutaki kujipendekeza kwaniii kwa wenyeji wakooo😂
Jirani mwenyewe anaonekana mchoyo tu huyo😏 kaenda kujikalia mbaliii
 
wote mnakutana wachoyo maana sio kwa kwenda kukaa huko majirani zenu kuku tu
Na ninataka kufuga kiukweli....kuishi porini ni kuzuri sana na kaz yangu hii ya ualimu ni full kufuga tu.Hakuna shule karibu hapo nihamie? Ila bila kuchat nitaweza sasa...umeme😔😪
 
Na ninataka kufuga kiukweli....kuishi porini ni kuzuri sana na kaz yangu hii ya ualimu ni full kufuga tu.Hakuna shule karibu hapo nihamie? Ila bila kuchat nitaweza sasa...umeme😔😪
shule ipo/zipo primary na sec shuleni kule umeme mwingi sanaa...

Kutoka shamba hapo na dukani kununua vitu ambapo kuna umeme n mwendo wa dk 10 tu unafika eneo umeme umeishia... Japo kule utachat na kuku wako tu sio binadamu
 
U mean there's no networks?
 
Mkuu tafuta mtu mzima wa miaka 45 hadi 60 kamwe auta juta ata kama akiwa mlevi au asiwe maana wanafanya kazi kwa bidi pia wanajali
Mimi kwenye shamba langu nimeweka Mzee wa miaka 62 Yani atujawai gombana ata siku Moja maana anaona umli umemtupa pia ana kwa kwenda lakini kwa vijana Yani bado nafasi zipo ivyo kidogo tuu anataka kuondoka
 
Nakubaliana sana na wewe,kuna mtu namtafuta n kijana sio mzee ila ni mtu ana familia yake nilimpaga kazi ya kuchimba kisima kule shamba hakika alinifaa yule baba/kaka. Alidiriki niambia nimpangie aishi kule.

Kipindi hicho sikua na project yoyote kule nikawa naona uvivu ila namtafuta sana kwasasa unachokisema nimekithibitisha.

ishu ni wapi pa kupata huyo/hao watu sasa Mkuu.
 
Tunakujua wewe... Ule mzigo wako bandari ushauklia?. Lile vanguard lako nasikia umelihonga.. Ile bilion saba ulitowekeza pale exim mwaka huu ni miaka mingapi vile?

NB: kufanya kazi chini ya tamisemi isiwe kigezo cha kujiona tajiri. Ni upupu tu
😄😄😄😄 Tulia hapo hapo boss akuwekee umeme uje uchaji simu yako,sawa fogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…