Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Nipigie Mkuu. 0621275256. Kwa ajili ya ku-ultilize hilo eneo. Taaluma ya kilimo ninayo, ka-mtaji ninako, ujuzi wa ujasiriamali ninao.

Ukipata kijana ama ukiwa umekosa, nipigie tukawekeze hapo.[emoji1317]
sihitaji kulima mkuu, kama mtu atalima ni yeye ila sio mimi, yeyote atae enda hapo eneo atawaza kitu sahihi kufanya binafsi nataka tu awepo mtu.
 
Hio ardhi ni ya mchanga haina kazi kuilima Mimi sioni Kama Kuna kazi kubwa hapo ni kufyeka vichaka kukusanya nyasi kupiga Moto alafu unapitisha jembe kiulaini tu
 
Hapo nimekuelewa. Kama huduma za jamii zote zipo karibu sawa. Maana umeona wengine wanaulizia kuhusu umeme. Na hapo kama una mpango hakika mtawekana sawa,kama hata ni shughuli zake,ataelekezwa upande upi aanze nao na ni kwa mda gani.

Mtu utapata tu.
 
Hio ardhi ni ya mchanga haina kazi kuilima Mimi sioni Kama Kuna kazi kubwa hapo ni kufyeka vichaka kukusanya nyasi kupiga Moto alafu unapitisha jembe kiulaini tu
Halafu watu wanahisi sijui natafuta mkulima kuna kitu naona kama wengine hawajakielewa kabisa.. japo kuna walio elewa nashukru pia.
 
Na ninataka kufuga kiukweli....kuishi porini ni kuzuri sana na kaz yangu hii ya ualimu ni full kufuga tu.Hakuna shule karibu hapo nihamie? Ila bila kuchat nitaweza sasa...umeme😔😪
We mwalimu utaweza kuondoka hapo mama john kwel
 
Nipo uyole mkuu...
Nimechoka na parachichi ndizi
Natamani nirud mby maisha simple sana... Juzi Kati wakati nasafiri nikaenda kuagiza msosi hapo stendi ya uyole kwenye hapo kauchochoro. Nimeshangaa nyama choma ugali inauzwa elfu tatu.
 
Mimi bwana shamba kijana wa kuja shamba ninae kama tunaweza kufanya project nzuri Mimi nitasimamia mashamba lako Mimi nakaa chanika apo karibu na Mimi kijana ninae wa kuja apo Mimi nakuwa nasimamia ishu za shamba pamoja na kitafuta soko kama unaweza kuwekeza nitakupa mpangilioa wa mazao na jinsi na soko lake lipo wapi Nina uzoefu na kazi yangu mwenyew Nina eka Tano na Nina greenhouse zangu na zingine nasimamia namba yangu hii 0620345862
 
Mkuu vp ulishapata mtu...kuna ndugu yangu anatafuta nafasi kama hiyo kama bado nikutafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…