Mkuu sio porini kama unavyohisi, Huduma zote muhimu zipo, Mahali kuna maduka na Umeme kwa kutembea kwa mguu ni dk 10.
Kuna zahanati mahali ilipo n dk 10 tu sina mashaka na huduma za jamiii.
Ndio mana unaona sijasema nataka mtu wa kulima nimesema nataka mtu wa kusafisha tu eneo, Kwanini?
Naanza Ujenzi Mkubwa Muda si mrefu kwahyo kile ni kiwanja ila nimepaita shamba kwasbabu n porini, angalia picha juu kuna ambayo nmepost jirani niliepakana nae uone nyumba aliyojenga. Maji kachimba kisima vha mashine kabisa ni 24hrs. (mwenyewe anapaita kwake n Bustani ya Eden)
Naamini ntapata Mtu sahihi maana sio kwamba nabeba beba tu ilimradi mtu.