cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie nalima na huwezi kuamini.Mtoto mayaimayai huyu anakuchecheta tu,akienda huko ataenda kulimwa yeye..[emoji28]
Nimekulia shamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie nalima na huwezi kuamini.Mtoto mayaimayai huyu anakuchecheta tu,akienda huko ataenda kulimwa yeye..[emoji28]
Hivi uko serious? Nahitaji mie kuja kuishi hapo.Kwani nina tatizo basi,wewe tu mwenyewe uamuzi ni wako sina hata shida na hilo.
Hapa nimekuelewa, mie nipo tayariiiMkuu sio porini kama unavyohisi, Huduma zote muhimu zipo, Mahali kuna maduka na Umeme kwa kutembea kwa mguu ni dk 10.
Kuna zahanati mahali ilipo n dk 10 tu sina mashaka na huduma za jamiii.
Ndio mana unaona sijasema nataka mtu wa kulima nimesema nataka mtu wa kusafisha tu eneo, Kwanini?
Naanza Ujenzi Mkubwa Muda si mrefu kwahyo kile ni kiwanja ila nimepaita shamba kwasbabu n porini, angalia picha juu kuna ambayo nmepost jirani niliepakana nae uone nyumba aliyojenga. Maji kachimba kisima vha mashine kabisa ni 24hrs. (mwenyewe anapaita kwake n Bustani ya Eden)
Naamini ntapata Mtu sahihi maana sio kwamba nabeba beba tu ilimradi mtu.
Promise me one thing to believe you...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie nalima na huwezi kuamini.
Nimekulia shamba.
we unaonekana kisirani plus gubu..ngumu sana kuendelea..hutaki jishusha..."ndimgaya sida"Mm Nina job freshi sema hizi naruka nazo tu kama zinalipa maana kujiongeza karuhusu na Nina plan ya kufuga mwakani.
Sad news ni kwamba inahitajika uwe huna hata mawazo kidogo ili bos kubwa akupeleke mchakamchaka vizuri. Mimi sipendi bos anaetaka kutake grants... Yani ukutane na bos Ambae akikuona mfanyakaz wake anaona kichefchef. Bosi wa aina hii atamtafuta mchawi tu
NB: Haihusiani na mada hii, huu ni mfano tu.
Jamani cna kucha ndefu, afu nipo kawaida sana na ninaweza kuishi sehem yoyote, mbna fresh tyuuh.We pisi kali utaweza kukaa polini ww... Hizo kucha ndefu utaweza kufyeka vichaka kwel
Sitaki shida na mtu kabisa, life fupii hili, acha tuenjoy.Ila cocastic nakubali haujawah kumtukana mtu... Yaani hautak shida na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mie nimeanza kulima tangu mdogo had sahivi.Wacha hizo wewe, hata kushika jembe tu nadhani hujawahi.
Which?Promise me one thing to believe you...
Pm me .😉Which?
Usiseme hivyo mkuu kama Kuna Dili tupeane tu.. Nina mwez sahizi sina ajira nimetimuliwa mwezi huu juzi tu na mwezi uliopita hela ya mtaji nimeizika huko kigamboni.we unaonekana kisirani plus gubu..ngumu sana kuendelea..hutaki jishusha..."ndimgaya sida"
Oyaaa umemwibia muhindi hapo kariakoo afu umeenda kujenga au sioUsiseme hivyo mkuu kama Kuna Dili tupeane tu.. Nina mwez sahizi sina ajira nimetimuliwa mwezi huu juzi tu na mwezi uliopita hela ya mtaji nimeizika huko kigamboni.
Hapana mkuu, nilikuwa kiofisi flaniflan hiv maeneo wanayoishi matajiri wa dar. Kimenitimua 😆Oyaaa umemwibia muhindi hapo kariakoo afu umeenda kujenga au sio
uliniuzia mashuka..nikajua biashara yako mkuu...jipambanie all the bestuliniuziUsiseme hivyo mkuu kama Kuna Dili tupeane tu.. Nina mwez sahizi sina ajira nimetimuliwa mwezi huu juzi tu na mwezi uliopita hela ya mtaji nimeizika huko kigamboni.
Mashukaaaa. Anhaa nilikuacha pale dukani wale ndo wenyewe mm nauzaga zile pzia za mchina za Mita mbili..uliniuzia mashuka..nikajua biashara yako mkuu...jipambanie all the best
Nitapata Tena tu mana nkiona sielewi elewi naendaga ngende kuchochea maslahi, Nkirudi napeleka CV naitwa siku hiyo hiyo kazin 😁uliniuzia mashuka..nikajua biashara yako mkuu...jipambanie all the best