Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Mkuu sio porini kama unavyohisi, Huduma zote muhimu zipo, Mahali kuna maduka na Umeme kwa kutembea kwa mguu ni dk 10.

Kuna zahanati mahali ilipo n dk 10 tu sina mashaka na huduma za jamiii.

Ndio mana unaona sijasema nataka mtu wa kulima nimesema nataka mtu wa kusafisha tu eneo, Kwanini?

Naanza Ujenzi Mkubwa Muda si mrefu kwahyo kile ni kiwanja ila nimepaita shamba kwasbabu n porini, angalia picha juu kuna ambayo nmepost jirani niliepakana nae uone nyumba aliyojenga. Maji kachimba kisima vha mashine kabisa ni 24hrs. (mwenyewe anapaita kwake n Bustani ya Eden)

Naamini ntapata Mtu sahihi maana sio kwamba nabeba beba tu ilimradi mtu.
Hapa nimekuelewa, mie nipo tayariii
 
Mm Nina job freshi sema hizi naruka nazo tu kama zinalipa maana kujiongeza karuhusu na Nina plan ya kufuga mwakani.

Sad news ni kwamba inahitajika uwe huna hata mawazo kidogo ili bos kubwa akupeleke mchakamchaka vizuri. Mimi sipendi bos anaetaka kutake grants... Yani ukutane na bos Ambae akikuona mfanyakaz wake anaona kichefchef. Bosi wa aina hii atamtafuta mchawi tu

NB: Haihusiani na mada hii, huu ni mfano tu.
we unaonekana kisirani plus gubu..ngumu sana kuendelea..hutaki jishusha..."ndimgaya sida"
 
We pisi kali utaweza kukaa polini ww... Hizo kucha ndefu utaweza kufyeka vichaka kwel
Jamani cna kucha ndefu, afu nipo kawaida sana na ninaweza kuishi sehem yoyote, mbna fresh tyuuh.

Nimetoka familia ya mkulima.
 
Naomba kujua kuna mademu jirani na shamba?
Maana upweke ukiwa mwingi + bila kuwa na umeme vijana watapata sonona.
Bia au pombe za kienyeji nazo zipo jirani?

Nimeumiza hayo kwa niaba ya vijana..
 
Hapa nimekuelewa, mie nipo tayariii
Sawa mkuu,karibu kule wanapaita inbox au pm kule ndio kuna muendelezo wa haya maongezi.

IMG_20231115_135323_761.jpg
 
uliniuziUsiseme hivyo mkuu kama Kuna Dili tupeane tu.. Nina mwez sahizi sina ajira nimetimuliwa mwezi huu juzi tu na mwezi uliopita hela ya mtaji nimeizika huko kigamboni.
uliniuzia mashuka..nikajua biashara yako mkuu...jipambanie all the best
 
Back
Top Bottom