Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

Ngumu kumesa.
Mwili unarutubishwa na kinachingia mdomoni, yeye kijana anarutubishwa na hewa?
 
...Haendi k.u.n.y.a ?...
 
Mwenye Enzi Mungu ana miujiza yake mingi sana kwetu walahi [emoji3590]
 
Dah! Yesu yeye alifunga mwezi mmoja na siku 10 tu uzalendo ukamshinda
 
Tutaamini vp
 
Toa ujinga wako hapa ,, hivi akili hamna hata kufikiria tu?? Au shuleni huko mlienda kusomea ujinga?? Njaa ya siku mbili tu mtu unakuwa unahisi kizunguzungu
 
Nawashangaa watu wanaopinga bila hoja. Badala ya kukazana kusema haiwezekani, ingelikuwa bora kuuliza ilivyowezekana. Hakuna mtu anayejua kila kitu.
 
Watu wa pembe ya Africa, Djibout, Ethiopia, Somalia, Chad wajifunze kwa huyu jamaa. Waache kulialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…