Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua Tahajudi ina nguvu lakini kutokula Kwa huo muda na ameumbwa ili aishi ni lazima ale basi hapa kuna uongo, Tahajudi ina power kubwa kiroho, lakini kimwili ili kiumbe hai kwa mfano wa mwanadamu kiweze kuishi ni lazima kile chakula, nje na hivyo anakufa, so hapa hakuna ukweliUkistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote.
Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.