Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

Chad ipo pembe ya Afrika?Ramani zinabadilishwa kila kukicha?
 
Tunajua Tahajudi ina nguvu lakini kutokula Kwa huo muda na ameumbwa ili aishi ni lazima ale basi hapa kuna uongo, Tahajudi ina power kubwa kiroho, lakini kimwili ili kiumbe hai kwa mfano wa mwanadamu kiweze kuishi ni lazima kile chakula, nje na hivyo anakufa, so hapa hakuna ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…