Mtu anapofikia hatua ya kujiua it means huyo mtu kisaikolojia alikuwa ameathirika, ndio maana mara zote tunashauriwa ukiwa na jambo gumu linalokuumiza sana tafta mtu sahihi wa kumweleza kuliko kukaa nalo na kuumia ndani Kwa ndani, lakini pia tunapaswa kujua kuwa Kila jambo linatokea kwa sababu ,Kuna maisha mengine baada ya Leo. naumia sana kuona wanaojiua ni vijana it means vijana tumekosa positive mind, Tujifunze kujicontrol Tusiruhusu kutawaliwa na hisia na mihemko zaidi katika utatuzi wa jambo haijalishi umekutana na jambo gumu kiasi Gani. Siku zote hisia zikiwa juu uwezo wa ubongo kufikiri na kufanya maamuzi sahihi hushuka. Hivyo Tujifunze kujibalance tukiwa na furaha Sanaa au tukiwa na hasira sana, tutaishi kuna nafasi ya kurekebisha makosa ukiwa hai kujiua niuvivu wa kufikiri na kuona Kila kitu hakiwezekani.