Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanyeni vitu KWA KIASI acheni ufala,mnakazi ya kulalama hovyo pumbavu.Sio dogo linaumiza umelea mimba umejitoa sadaka kwa mambo mangapi ili mtoto na mama wawe na afya mkuu inaumiza kuna muda mwanaume unaamua kuyavaa madeni ili kuweka mazingira ya familia safe kazini unapambana ukijua nyumbani nimea acha watu wawili wana niangalia mimi nikizembea tu nawaangusha
Matusi hayo una mtukana nan?Fanyeni vitu KWA KIASI acheni ufala,mnakazi ya kulalama hovyo pumbavu.
Kujitoa umejitoa vipi kama ungetaka kujitoa zaidi basi huyo fala na wanaume ambayo ni weak wabebe mimba ili tujue wanauchungu sana pumbavu.
Fanyeni vitu kwa kutumia akili mtaendelea kufa kama kumbikumbi bladiful na hakuna kesi yoyote hapo huyo malaya atadunda mtaani na atatafunwa kama kawaida.
📌📌📌WEAK MEN MUST PERISH,NO ROOM FOR BLANDERS LIKES THIS IN A MANS LIFE!!!
Huyo malaya wako alikuwa anakumix kwa yas mpaka akuchanganye hivyo au ni USHAMBA WA KUGEGEDA unawasumbua nyie watoto??!!!Kuna kipindi nilitaka kujiua kisa nimeachwa na mpenzi wangu,nilikaa na msongo wa mawazo takribani 7days akili ilipokaa sawa,nikajiona ni mpumbavu haiwezekan nife kwa ajiri ya nyapu! Na kukaa na mpenzi mmoja inawafanya vijana wengi wajiue linapokuja suala kuwa wameachwa. Hao wazazi wa binti wampeleke huyo mtoto kwa babake na sheria ichukue mkondo wake. APUMZIKE KWA AMANI ila amefanya maamuzi ya kipuuzi mno
Jifunze kujenga hoja acheni kutafuta VICHAKA VYA KUTETEA UZWAZWA. ROHO YA MAUTI NDO NINI???hata tusimlaumu, roho ya mauti ikikuambata yeyote anaweza kufanya lolote, hata kama hangejinyonga ila as long as roho ya mauti ilikuwa inamwandama, angekufa kwa kingine hata ajali tu. Uzuri uliopo ni kwamba, Yesu Kristo alikufa, akazikwa, siku ya tatu akafufuka kwa kuishinda mauti, uwapo uchungu wako ewe mauti, Yesu Kristo ana nguvu kuliko mauti yeyote ile, Yesu KRisto anao uwezo kureverse mauti yeyote, Yesu Kristo, ukisoma Isaya 53 inasema alipigwa na kuuawa badala yetu, chochote alichofanyiwa, ilikuwa kwa niaba yetu kwa ajili ya kutukomboa sisi toka kwenye hiyo hali.
Ushauri kwenu, kama hauna Yesu Kristo moyoni, okoka haraka, ili Yesu akuponye na mauti, akuepushe na mauti, au la, wewe binafsi utapambana na mauti na hautashinda, na elewa kwamba, kwa uwezo wako hautaishinda mauti, anahitajika yeye aliyeishinda mauti, ndiye Yesu Kristo mnayemkataa. Mungu awasaidie.
JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE
Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo Halmashauri ya mji Makambako.
Taarifa zinaeleza kuwa siku ya jumapili Februari 9,2025 familia ya binti ya aliyekuwa naye kwenye mahusiano walimwita Justine Mbaga, na familia yake na kumweleza kuwa mtoto ambaye alikuwa anamlea si wake, jambo ambalo lilipelekea kuathirika kisaikolojia na kuchukua uamuzi huo.
Baadhi ya majirani wa Justine Mbaga wamesema kifo cha mpendwa wao kimewaacha na majozi mazito kwani alikuwa ni kijana mwenye maadili mema.
Ratifa kibiki ni, mama mzazi wa binti mwenye mtoto huyo anayedhaniwa ni mtoto wa Justine Mbaga akizungumza na El olama fm amesema waliamua kumuita Justine Mbaga na Familia yake na kuwaeleza kuwa mtoto huyo si wao kwani aliona si busara Justine aendelee kulea mtoto ambaye si wake.
Aidha Mama huyo amesema binti yake alikuwa tayari kurejesha gharama za matunzo ambazo Justine Mbaga alizitumia kumlea mtoto huyo ambazo ni 850,000/=.
Diwani wa kata ya kitisi Nevy Sanga na mtendaji wa mtaa wa Kisingire,wameiasa jamii iache tabia ya kuchukua sheria mkononi hasa inapojitokeza changamoto yoyote kwenye maisha.
🎥
✍️
View attachment 3234433
Hivi vifo vichunguzwe. .......vifo hivi vimekaa kimchongo sana.JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE

📌📌HAWA BROILLERZZ WA SINGO MAZAZZZ MUST DIE!!!Hakika..!
Vijana wa kiume wa sasa hawana tena kitu UJASIRI.
Hali ambayo inawafanya wajiue pale wanapokabiliwa na changamoto za kawaida za kimaisha.
Kuna mwingine tena juzi kati hapa kajiua nakuacha mke na mtoto mchanga kisa tu anadaiwa Tsh. Elfu sitini!!
Ninadhani hali hii inachangiwa pia na vijana wengi kulelews na mama pekee bila baba.
Au aoe kabisa au azalishe zaidi ya mmoja. Marehemu kazingua saanamarehemu nae mpumbavu tu
asa kuambiwa mtoto sio wako ndo ujiue
ye angetulia na kupambana juu chimi azae na ndugu wa iyo familia
uyo mama mkwe anarahisisha tu kurejesha gharama,hajui mtu kajitoa kiasi gani
Na hapa mama na binti Yake lao moja
Pengine alikuwa anasikilizia. Baadhi ya wanawake hufanya kwanza iwe siri halafu wanakuja ''kumsukumia'' yule mwanaume mwenye maisha mazuri. Yle ambae hana kitu anaachwa hata kama mtoto ni wake.Duuuhhh . Kwanini hawakumwambia mapema kwamba mtoto sio wake tangu akiwa tumboni?
Haswa tunao tena wengi tuHao kataa ndoa waulize vizuri. Wana watoto