Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

Anyway mtoto alizaliwa ndiyo maana huwa wengi wao wanawapeleka kwa mama zao akajifungulie huko,ila siku hizi wengi mnaona ni ushamba lakini angajifungulia mikononi mwa wazazi wa mwanaume,mama yake angekuwa ameshamwambia zamani kuwa huyu siyo wetu mwanangu na yangeisha muda mrefu sana,wamama wanajua vingi....... endeleeni kujifanya wa mjini mtajinyonga sana tu........
 
Kuna kipindi nilitaka kujiua kisa nimeachwa na mpenzi wangu,nilikaa na msongo wa mawazo takribani 7days akili ilipokaa sawa,nikajiona ni mpumbavu haiwezekan nife kwa ajiri ya nyapu! Na kukaa na mpenzi mmoja inawafanya vijana wengi wajiue linapokuja suala kuwa wameachwa. Hao wazazi wa binti wampeleke huyo mtoto kwa babake na sheria ichukue mkondo wake. APUMZIKE KWA AMANI ila amefanya maamuzi ya kipuuzi mno
Pole sana mkuu tukaze tu
 
Kuna jamaa mtaani kwetu,alioa na kujaaliwa kupata mtoto mmoja, kwa mujibu wa maelezo yake alisema kabla ya kutoweka "mimi na mkewangu baada ya kupata mtoto,mke wangu alinambia,kutokana na ugumu wa maisha naomba mume wangu tuwe tunatumia condom ili kuepukana na mimba nyingine,inatakiwa huyu mtoto tuliyempata akue angalau afikishe miaka 5", kweli jamaa akakubali,pilika zikaendelea,wanatumia condom wakati wa tendo,lakini cha kusikitisha na cha kushangaza,jamaa alishtukia tu mke wake ana ujauzito,si ugomvi ukaibuka,mpaka mwanamke akasema aliyempa ujauzito,kuwa ni mwalimu wa kwaya kanisani kwao, na ameshaondoka, kiukweli jamaa aliumia sana moyoni jambo lililopelekea jamaa kuuza kitegauchumi chake alichokuwa anamiliki na kuondoka,amemuacha mwanamke walipokuwa wamepanga,yamkini kodi ikiisha atarudi kwa babake. Hii comment naifungulia uzi.
 
Back
Top Bottom