Kijana wangu anakesha kwenye games analala alfajiri


Hana mtoto mkubwa hivyo anafurahisha genge tu ni vijistory anavitoa huko kwenye vibaraza vya Saloon. Ndiyo zake hizo.
 
Sasa kama mamaake unakesha jf kuendekeza siasa na kuwatetea kina Mbowe unategemea uwape watoto wako malezi bora kweli?

Na uhakika hapo ulipo wewe ni single maza, maana hakuna mwanaume atakubali kukaa na mwanamke anaekesha kuwatetea kina humu jf!
Hahaahaaaa aiseee hahaha
 
Duh!
Kama mdogo angu wa mwisho[emoji119][emoji119]
Ni shida,sa kumi na mbili asubuhi ndo analala!

Nafikiri kuanza maombi rasmi!
Hii ni addiction km zilivyo addiction nyingine!
Sio nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzoeshe library kama mama Ben Carson
 
[emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka hapo ulipogeuka bajaji
 

Siyo kweli fimbo si suluhisho.

Fimbo na aina nyingine za corporal punishment ni akili za kikoloni zilizoletwa na dini. Aisee nachukia mtoto akipigwa fimbo hatari.

Sisi waafrika tulikua hatupigi fimbo watoto wetu kama wanyama (hata wanyama ni marufuku kuwapiga fimbo kama maguni ya mahindi)

Nimeishi na indigenous Hadza people kamwe hawawachapi bakora watoto wao.

Hii mambo ya kupigana mabakora imetokea wapi?

Ni kwamba babu yako alichapwa bakora na mkoloni, na yeye akaona ni sawa basi akaenda nyumbani akaanza kutandika watoto bakora.

Wewe ukikosea nani anakutandika bakora?

Unakuta mtoto ameangusha sahani eti unamchapa. What the f**ck?

Wewe ni mzazi tu si mmiliki wa huyo mtoto.

Kazi yako ni ku-support dream yake tu. Vinginevyo una jaribu tu ku-force dream jinsi ya kuisha maisha kitu kinachoweza kuwa mistake kubwa sana.
 
Games addiction yake mbaya nyie isikieni tu.😀

Nafikiri kwa sababu anakula na kulala bure. Njaa ingeuma unakumbuka kuna gharama zinatakiwa kulipiwa. Unajikuta automatic unaweza kujicontrol.
Ila games tamu nyie hasa ukijua kuzicheza😀
 
Bosi wangu anapenda sana kucheza gemu la karata ofisini. Lile la kumvua nguo dada wa kizungu, sijui kama vijana wanalijua.

Unacheza..ukipata anavua blauzi, unacheza tena ukipata anavua sidiria...hadi mwisho anavua zote. Huyu bosi anakaribia kustaafu.

Ushauri: muache mtoto awe busy na game kuliko kwenda kunywa pombe na kuishia kuwa malaya wa kula tund kimasihara.
 

There has to be a limit for each and everything. Stand like a father. Apart from guiding him he might be needing professional mental, psychological or spiritual help.
 


Ila mdogo wangu mnyalu una stress Sana! Mie nikupe pole tu!..na kweli life la sky na lako ni mbingu na ardhi
 


It's true!
 
Anasoma chuo kipi kijana wako?

Kama sikosei vijana wako chuo wiki ya pili kama sio ya tatu sasa ,wenzao wa sekondari na msingi wapo njiani kurudi masomoni.
 
Kama maendeleo yake ya kimasomo yako sahihi haina ubaya wowote yeyey kupenda game, shukuru tu anapenda games kuna watoto wengine angekua analala anaangalia mitandao ya mambo yasiyofaa. Atakapokua na majukumu atajikuta anapunguza mwenyewe, mbona hata watu wazima unapokua na nafasi unacheza game vizur tu na unarefresh akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…