Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Hahahhhh na viapp vya betting!Hatokuta cha maana zaidi ya videm na porno
Umegonga mule mule hawezi kukosa.Hahahhhh na viapp vya betting!
Hiyo ni stage ya makuzi pole mkuuKijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Nimependa ushauri wako.wa kike au kiume? kama ni wa kiume, toka nae out, seheme fulani hivi amazing ongea nae kama baba, mzazi wake kwa upole but ukiwa serious, beba hatima yake kwenye utawala wako. Mwambie ukweli juu ya tabia yake, akileta mbwembwe mzabue intact double, go & return. Mpe na onyo..... karipio kali, achague kuwa na adabu au kupotelea huko shule.....mfuatilie na marafiki zake.... pole kwa changamoto
Hatari sana mkuu MUNGU anisaidie nivuke sarrrlama tu...Umegonga mule mule hawezi kukosa.
Yani miaka 20 wakiume tunakuwaga bado mazwazwa tu
Ndo una huo umri?Hatari sana mkuu MUNGU anisaidie nivuke sarrrlama tu...
Yeah... hata mimi hii situation hua inanikuta ya kununa hua siongei na mtu ila inaondoka yenyewe tu naanza kujishauli mwenyewe tu!Ndo una huo umri?
πππUnambwatiza? Kwa umri huo unatakiwa uwe na staa unavomuonya kama ukiwa kimbau mbau ipo siku atakulamba makofi
Kwa kweli.Wazazi wa sasa hamjui kuelekeza vijana mnadhani kufoka ndio kuelekeza mtoto wake kashakuwa mtu mzima anaona unamshushia heshima chakufanya akikosea ukifika home muite pembeni kaa nae muulizie vipi mbona hili suala silielewi imekuaje hio itamfanya atoe yote ya moyoni sio kufokafoka kama mbwa
Mumfanyeje? πππTuletee walimwengu uyo.