Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Mungu anasemehe maana watu tumefanya mabaya kuliko hata wewe.
Kasome uzi wangu wa mungu wa walokole
 
Dogo yuko wapi?
 
Hongera sana....Mungu akutie nguvu usimame imara
 
pombe sio SIGARA
 
Hayo maneno yataje ndio dhumuni la uzi huu tuelimike,tujengeke na tusaidiane
 
Na mimi kuna demu yuko mpanda uko anasema nitume tu nauli na kwa uchumi uu hapan abaki tu uko.
 
Mmh pole sana ndugu yangu
 
Brother nakupa pongezi sana kwa kutufungua macho, unachosema ni kweli kabisa. Sisi watanzania siasa za ujamaa zimeturudisha nyuma sana. Yaani unakuta mtu anasubiri kupewa, kuna msemo "mgaa mgaa na upwa hali wali mkavu". Amini usiamini ukipambana na ukizunguka utakuja kukutana na fursa ambazo hukutegema kukutaa nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…