Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kuna jamaa anakujal kasi.. soon katoboa na idea yake presentable. Anatoboa yuleee na ni upcoming billionaire. Vijana teknolojia Ina Fursa.Wengine mnafanyaje fanyaje unapita mbezi beach africana , washkaji agemate tu wa BMW ,maduka makali yanguo na wako smart tupeane mbinu wazee
tufafanulie hii mkuu, tupate somo?Kuna jamaa anakujal kasi.. soon katoboa na idea yake presentable. Anatoboa yuleee na ni upcoming billionaire. Vijana teknolojia Ina Fursa.
Stay turned
Safari yetu ya utafutaji katika dunia hii imejaa misukosuko mingi sana either ya kifamilia, ndoa, kazi na kipato.
Wapo watu chungu nzima dunia hii inawasulubu na hawajui wafanye nini kila wanalofanya linakwama iwe ajira, mahusiano na kipato.
Wapo watu ambao mambo yao yamewanyokea kutokana na juhudi zao saizi wana usafiri, wanavaa safi na kusaidia familia zao kiasi kwamba wanaona wengine wazembe
Mfano mimi nimewahi pata msala katika utafutaji kama sio ndugu na washkaji zangu kunipa faraja, ushauri sidhani kama ningefika hatua moja mbele. Ilifika hatua nikamuomba MUNGU.
why Umeruhusu haya majaribu?
Shusha uzoefu wako ni msukosuko upi huwezi usahau ,na ulijikwamua vipi?
Na ambao mambo bado tafrani wafanyaje waweze kupata nafuu?
MWANAMKE..
Nilikuwa na mwanamke kipindi fulani nikiwa vizuri kiuchumi. Nilimsomesha pia. Baada ya kumaliza alipata kazi. Ikumbukwe nilipata nae mtoto mmoja.
Baada ya yeye kupata kazi bahati mbaya maisha yangu yaliyumba sana kwa kuwa nilisimamishwa kazi kampuni niliyokuwepo wakati ule. Nilianza upya kutafuta kazi hadi kwa kuhonga ili niingie kwenye vitengo ila haikuwa hivyo, nilifeli.
Nilijikuta akiba yote imeisha nikiwa sijapata kazi, hapo ndipo mambo yalianzia. Mwanamke alianza kujazia sehemu zenye mapungufu japo kishingo upande, zikaanza influence za kwao kuwa aondoke kwangu sababu sina mchango wowote tena.
Aliondoka na vitu siku moja nikiwa safari kufukuzia kazi. Nilipigiwa simu tu na watu wa karibu kuulizia mbona ninahama. Asikwambie mtu, from there nikaanza kuishi kama kuku, kuzurura tu. Again I started from Zero. Hakuna alienielewa, si wazazi wake wala yeye. Home wakaniambia nipotezee tu.
Ni mengi sana yalipita nikipata time nitashusha kila kitu. I thank God, nilipata kazi tena kampuni jingine and from there my life is back on track. Sina vikuuubwa ila ninaishi maisha yangu.
Wakati mshamba_hachekwi anagundua kusugulia kochini. Kuja kijana mdogo tu kapata leseni ya kuendesha mradi Fulani hivi juzi tu... Yan kila don anasema yule dogo anakujal kuwa bilionare.tufafanulie hii mkuu, tupate somo?
WagaWakati mshamba_hachekwi anagundua kusugulia kochini. Kuja kijana mdogo tu kapata leseni ya kuendesha mradi Fulani hivi juzi tu... Yan kila don anasema yule dogo anakujal kuwa bilionare.
ndio don ajae au?Waga
Mwaka 2017 nilipomaliza chuo Nikazalishwa hapo ndo ikawa mwanzo wa maisha yangu kuharibika mpaka Leo hii no job no anything baada ya hapo maisha yangu yamestack ila naamini siku moja mambo yatakua sawa.Mungu ni mwema
Aliniuliza "mm na mama ako nani wa muhimu?"Hayo maneno yataje ndio dhumuni la uzi huu tuelimike,tujengeke na tusaidiane
Mimi nimelikoroga siku za hivi karibuni,yani hapa sielewi najinasuaje?
mshamba_hachekwi mgunduzi wa kuisugulia kochini πππ€£ ana kitu atafika mbali huyuWakati mshamba_hachekwi anagundua kusugulia kochini. Kuja kijana mdogo tu kapata leseni ya kuendesha mradi Fulani hivi juzi tu... Yan kila don anasema yule dogo anakujal kuwa bilionare.
Mda mwingi nimeutumia kuzurula maeneo tofauti nchi hii kuliko kujijenga[emoji24][emoji24]
Ila kwa sasa nimeamua nitulie
Daah pole sana hii ni dharau ilioje .....piga moyo Konde kaza buti na mwendo utayashinda tuAliniuliza "mm na mama ako nani wa muhimu?"
Bahati nzuri nimelelewa katika misingi ya kumheshimu mwanamke la sivyo ningemuweka makofi.
Forex
Mwaka 2017 ninamaliza chuo nikakutana na hilo dubwana mkuu wa kuinfluence bwana ontario...kwanza niseme ktk watu waliopata utam wa hii kitu kipnd kile tupo kwenye magroup ya wale wasouth aliewaleta ontario na mm nilikuemo niliweza kupandisha dola 100 mpaka 5000,,,kula bata club madem yaan unaish km vile muvi ukienda kwenye computer ukiclick masaa2 maokoto hayo km yote...mapcha pcha yakaaza mara soko liende tofauti mara tamaa ya kutaka utajir chap mara broker acheze na machart mara news yani balaa kipindi hiko ndugu zangu wananipgia connection za kazi mara hii mara ile wengine full kunifata adi nyumbani kwann sionyeshi ushirikiano mm wala sieleweki najiona nimepata deal kumbe mm ndio deal lenyewe mpk kufika 2019 nimeshakua km teja yani akili inawaza malambogn ferari mansion...huku nikuchoma account na kufund account uko kwenye circle ile ile mpaka nakuja kushtuka nimepoteza mda na pesa kibao na kazi kibao daah yaan acheni kabsa..2020 nikaachana kabsa na fx nikabadili mfumo wa maisha nikaanzsha biashara ndogo ile biashara ikazaa nyngne, nikakuza mtaji now nipo kkoo napambania kombe alhamdulilah bado najitafuta sjajipata vzur ila 7figure kwenye account znasoma.
Hustler migogoro junior
Kama mimi ndugu yangu, ile namaliza shule tu naingia mtaani 2009 nakutana na dada mmoja kwa huruma na mapenzi nikamchukua geto nilikaa miaka minne alitemana na mimi kama mtu ambaye hajawahi kuonana naye maishani mwake, nilipoteza vingi kwa ajili yake, hadi leo 2023 japo nina maisha mengine lakini athari za yule dada bado zipo.
Mapenzi na huruma zetu wanaume dhidi ya wanawake zimechangia sana kutuwekea kwenye daraja la umaskini kwa kiasi kikubwa.
Na ndo ilivyo mkuu. Pole sanaMkuu unasema ukweli kabisa nilipoteza 1.6 kwa wiki tu kwa ajili ya uraibu wa ngono na pombe.
Roho iliniuma sana,,wakati kuna watu hata laki moja hawapati kwa wiki.
Nikaamua kubadilika
Kwel mkuu, kikubwa n kuwa na uthubutu yaanBrother nakupa pongezi sana kwa kutufungua macho, unachosema ni kweli kabisa. Sisi watanzania siasa za ujamaa zimeturudisha nyuma sana. Yaani unakuta mtu anasubiri kupewa, kuna msemo "mgaa mgaa na upwa hali wali mkavu". Amini usiamini ukipambana na ukizunguka utakuja kukutana na fursa ambazo hukutegema kukutaa nazo.
Ila kwa maisha ya sasa watu kama mshamba_hachekwi hawana mchango wowote kwenye maendeleo endelevu πmshamba_hachekwi mgunduzi wa kuisugulia kochini πππ€£ ana kitu atafika mbali huyu
hawa watu sijui tumewakosea nnAliniuliza "mm na mama ako nani wa muhimu?"
Bahati nzuri nimelelewa katika misingi ya kumheshimu mwanamke la sivyo ningemuweka makofi.
Dah! Mungu akusimamie katika kila hatua madamubMwaka 2017 nilipomaliza chuo Nikazalishwa hapo ndo ikawa mwanzo wa maisha yangu kuharibika mpaka Leo hii no job no anything baada ya hapo maisha yangu yamestack ila naamini siku moja mambo yatakua sawa.Mungu ni mwema