Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

Jana Zelensky anasema mashambulizi mapya makali ya urusi uko mashariki ya Ukraine yameanza.

Mtoa mada sijui Kama hii taarifa uliipata
 
Juzi urusi kafanya mashambulizi makali Sana kyiv,

Watu zaidi ya 900 wamekufa afu unasema nn wewe[emoji848]

Hivi Mtoa mada unafatilia vyombo vya habari au huwa unaskiliza story za kusimuliwa kijiweni msimbazi kwenye kahawa?
 
Uko irplin kuna magofu na mapagale zaidi ya 71%

Wakati miji ya Russia iko salama salmini

Afu unakuja Russia kashindwa vita
 
Western kungekua na Uhuru wa habar Basi wangeruhusu fair play ktk utoaji wa habari za Vita.

Kwann vyombo vilivyo pro Russia vinafungiwa?

Wanataka kutulazimisha Dunia nzima tuskie wanachotaka au?
 
Mtoa mada Yuko very outdated,
Hana vyanzo vya kueleweka vya habari, fact zake ziko juu juu TU.

Very shallow[emoji4]
 
Juzi urusi kafanya mashambulizi makali Sana kyiv,

Watu zaidi ya 900 wamekufa afu unasema nn wewe[emoji848]

Hivi Mtoa mada unafatilia vyombo vya habari au huwa unaskiliza story za kusimuliwa kijiweni msimbazi kwenye kahawa?View attachment 2193837
We ni kilaza kumbe huelewi ata most of them shot dead..kwa kichwa chako ndo ushindi uo kupiga risasi raia
 
Hakika,
Hata Zelensky mwnyw keshakubali mashariki ya Ukraine inashambuliwa mno
 
hakuna rais aliyewahi kupigana na nchi zaidi ya 30,na akawa piga na kuwafanya waanze kuomba huruma kwa dunia yote wasaidiwe Vita,ukiacha Hitler ,ni Russia kwa Sasa,hata huyo marekani hajawahi kuingia Vita na nchi 30.

mpaka hapo,hakuna nchi yenye nguvu kijeshi duniani kushinda Russia ,Kama malengo ametimiza yote,kumzuia Ukraine akome kuwaza kuhusu NATO Hilo ametimiza, zelensky kwa ss NATO anaiona Kama sumu kwake na anajuta.pili kaigawa Ukraine izae vi nchi vingine Kama 3 au 4,Hilo amefanikiwa ,tatu Ukraine kwa Sasa haina bahari Tena Hilo amefanikiwa,lkn pia amefanikiwa kumvimbia marekani na kumuonyesha marekani sio super power Tena wa kuamua kila kitu Hilo amefanikiwa. Kiujumla NATO na marekani wamemfanya Russia again confidence zaidi kuwa yy ni taifa lenye nguvu duniani ,kuliko mwanzo.lakini pia hii Vita imeiweka Russia kwenye ramani nyingine kabisa duniani ,kuwa ni taifa pekee linaloweza kumdhibiti marekani na NATO yake ,na kubadili upepo wa world order!!!!

Sasa tunaelekea uelekeo wa new world order,na aliye i lonch ni Russia ,sio mmalekani tena.ila mtekelezaji ndo hatujui atakuwa Nani au wakina Nani!!
 
Majeshi ya urusi yanafanya encycling.

Yaani unazungukwa pande zote, Kisha zinashambuliwa bohari zako za chakula,silaha na kudhibitiwa Njia zote za kuingia na kutoka.

Baada ya hapo
Hakuna silaha, chakula, Wala maji kuingia mjini. Njaa ikiwauma mtaanza kujitokeza mmoja mmoja mnauwawa, wengine wanasurrender.

Vita inakua rahisi Sana.

Hii kitu imefanyika uko mariupol,
Imesababisha Zaid ya wanajeshi 1900 wamesurender na kupewa chakula na matibabu. Waliokaidi wameuwawa.
 
Putin naona kapoteza sana sababu kama ulipanga vita utumie siku 3 halafu kwenye ground ukaenda siku 60+ maana yake umetumia bajet ambayo hukuipanga
Mpaka sahv urusi katumia 25% tu ya silaha zote alizopanga kutumia kwenye operation hii ya ukraine.

Na Hii Ni kwa mujibu wa pentagon, USA
Kama unabisha fuatilia vyombo vya habar vya west Jana .

Kama huna chanzo Sema nikuletee ushahidi
 
Ujeruman Jana katangaza kuishiwa silaha zaidi za kutuma Ukraine,

Pentagon Jana wanasema Putin keshatumia 25% TU ya silaha zote alizopanga kutumia kwny Hii operation

Uingereza wamesema zaidi ya zile javellin hawana silaha Zaid za kutuma uko ukrine

PUTIN ANAWAKIMBIZA MCHAKA MCHAKA
 
Mpaka sahv urusi katumia 25% tu ya silaha zote alizopanga kutumia kwenye operation hii ya ukraine.

Na Hii Ni kwa mujibu wa pentagon, USA
Kama unabisha fuatilia vyombo vya habar vya west Jana .

Kama huna chanzo Sema nikuletee ushahidi
Alipanga wafe askari wake wangapi ktk hii vita?-Mbona wamekufa sana mpaka kuogofya
 
Acha arushe hayo mabomu, aharibu majengo, avunje shule, hospitali etc Lakini hizo siyo military targets ni civilian targets na inaonyesha namna Gani jeshi la Urusi lilivyodhaifu. Unashindwa kudeal na askari wa upande mwingine unaenda kuharibu miji!
Sasa kama wanajeshi wanajificha kwenye majengo ya kiraia afanyeje Sasa[emoji3]

Tunapiga pale pale alipo adui,
Cha kufanya toeni tamko wanajeshi wa Ukraine wasalie kwenye makambi Yao zipigwe uko uko
 
Umoja wa Wayahudi duniani kamwe hauwezi kumuacha Myahudi mwenzao Zelensky aangushwe!
Zelensky ni sehemu ya symbol ya power ya Wayahudi(Kutawala sehemu mbalimbali za Dunia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…