Kijeshi, Urusi imefeli vibaya sana huko Ukraine

Mtoa uzi jalibu ku balance shobo ,uhalisia unaonekana ukraine ipo magovu na miji mingine imishikiliwa.hatutaki analysis za kimchongo za kubana pumzi mpaka media za west zilopoke
 
Marekani aliwahi saidia Ulaya nzima kumpiga Hitler na hao Ukraine wenyewe na Urusi misaada walipata. Marekani kutoa $800 million mara mbili sio jambo la kupigisha raia yowe wakati last year Chairman wa Fed. Jerome Power aliachia zaidi ya $2 trillioni kusaidia uchumi kwenye COVID-19.

Marekani wanaweza toa hata $10 billion bila kelele kutoka popote. Hawajaamua tu na wakati huohuo kuna wanaotia pressure misaada iongezwe
 
Kuna warusi wa kwa mtogole, watakuja kubisha
 
Mkuu unajua vita hii Ukraine kwenye mitandao ameshinda vibaya mno.. ila kwa ground mrusi yupo mbali sana.
 
Kumbuka China na Russia wameiplan hii vita muda mrefu sana. Hizi ni super power mpya za dunia
China hawezi vamia siasa za mtu mmoja pale Russia. China na USSR waliwahi pigana na walidaiana maeneo na technically wakiamua kujitoa ufahamu wanazo sababu za kugombana. Wachina wako very strategic hawana muda kuparamia sera zisizosaidia taifa lao. Kwa sasa wako busy na South China sea kuzuia influence ya Australia na washirika. Jana hapa walisaini mkataba wa ulinzi na Solomon islands.

China anajua shida za vikwazo tangu Tiananmen square indicent
 
Unaweza kukuta huyu mwamba hata kozi ya mgambo hajawahi pitia achilia mbali ulinzi wa Suma JKT lakini hapa yuko anatupanga kinoma eti anafanya analysis kwa jicho la kijeshi

Maisha haya [emoji1787][emoji1787]
Unashangaa hili, Waziri wa Ulinzi wa Urusi yule Sergei Shoigu ni Civil Engineer na hakuwahi kuwa jeshini hapo kabla. Ni kama umbebe mtu Tanroads uko, sasa hajabu kwa mleta mada ni nini
 
Thanks for the nice share; in fact this war has proved beyond resonable doubt that THE AMERICAN power is no longer there.
 
Unaweza kukuta huyu mwamba hata kozi ya mgambo hajawahi pitia achilia mbali ulinzi wa Suma JKT lakini hapa yuko anatupanga kinoma eti anafanya analysis kwa jicho la kijeshi

Maisha haya [emoji1787][emoji1787]
Haa ha ha; we jamaa yaani kati ya mafunzo ya SUMA JKT na mgambo yepi makali? SUMA JKT wale ni wana jeshi kabisa wale kaka, sheria tu ndio haiwaruhusu kufanya zaidi ya kile wanacho kifanya, alipo SUMA JKT police anapaogopa. Sorry kua nje ya topic ila umenifurahisha kwa mchango wako
 
Umeota leo
 
Ukilewa sifa wa chapwa. [emoji23][emoji23]
 
Sasa kama wanajeshi wanajificha kwenye majengo ya kiraia afanyeje Sasa[emoji3]

Tunapiga pale pale alipo adui,
Cha kufanya toeni tamko wanajeshi wa Ukraine wasalie kwenye makambi Yao zipigwe uko uko
Mnapiga??[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117][emoji117]
 
Mpaka leo hawaja tambua ivo??
 
unajitekenya na kujichekesha na kujibebesha matakwa ya russia kama na wewe ni ndugu yake putini., Ukraine watapigana mpaka dakika ya mwisho, Russia ilikusudia operation labda kwa siku kadhaa hivi sasa ni mwezi wa pili, jana amekodi mamluki toka Syria na Libya ni wazi amebanwa pabaya sana, kiasi kwamba wanajeshi wanaendelea kupoteza maisha., tusubiri tuone hiyo miji uliyotaja russia ikiwa chini yake

Ukraine ni nchi ambayo watu wengi wanaichukulia poa, ukraine wana historia nzuri vita dhidi ya russia, time will tell
 
Acha arushe hayo mabomu, aharibu majengo, avunje shule, hospitali etc Lakini hizo siyo military targets ni civilian targets na inaonyesha namna Gani jeshi la Urusi lilivyodhaifu. Unashindwa kudeal na askari wa upande mwingine unaenda kuharibu miji!
Inatakiwa huo udhaifu alonao RUSSIA wale jamaa wa NATO wautumie kumchapa sababu anaua RAIA kama alivyokua anaua ASSAD na GADAFI
Na kama hutojali MKUU tunaomba utuekee yalokua malengo ya PUT IN na siku alizotangaza zahii OP
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…