DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Tena mngepigwa sanaaa hadi mkojoe damu, hapo hamjapigwa, mnavamia kituo cha polisi na kuvunja, nyoko sana nyie, aaaarghhh polisi mngevunja vunja mikono na miguu wote hao waliokuja kituo cha polisi na kuvunja kituo, yaani mnavamia na kuvunja kituo cha polisi nyie sio raia ni majambazi kabisa, nyoko nyie, pumbaf zenu, tumbili kabisa…. Aaaarrghhh 😡😡😡😡
 
Kwanza ni upumbavu kwenda kuvamia kituo Cha polisi. Siwapendi kabisaa police wa tz hasa utendaji kazii wao unahusisha matumizi kidogo mno ya akili lakini raia wamefanya upumbavu mkubwa walilazimisha kupata mkong'onto.
 
Kwa hiyari yao wananchi wamelilazimisha jeshi la police liwatembezee kichapo.
 
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
 
Raia wana haki gani kuvamia kituo cha polisi?

Kilichowapata wamekitaka, na hao waliobaki hai wapewe adhabu kali kabisa.
 
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
Kuvamia kituo cha polisi siyo kutumia nguvu?
 
Kwanza ni upumbavu kwenda kuvamia kituo Cha polisi. Siwapendi kabisaa police wa tz hasa utendaji kazii wao unahusisha matumizi kidogo mno ya akili lakini raia wamefanya upumbavu mkubwa walilazimisha kupata mkong'onto.

Nitajie ni Polisi wa nchi gani hapa duniani unayoifahamu ambao wanahusisha matumizi makubwa ya akili kwenye scenario kama hiyo ya huko Kazuramimba ?
 
Mahakama zipo ...

Mpelekeni mahakamani kwa hizo tuhuma za "yasiyoonekana"....

Ni kweli uchawi upo....ni sayansi ya "gizani"....

Unashinikizaje polisi wakupe mtuhumiwa ?!!![emoji15][emoji15]

Raia wajibu wetu si kutii sheria zetu wenyewe?!!! [emoji15][emoji15]

UNAVAMIAJE KITUO CHA POLISI???? [emoji15]
 
[emoji7]
 
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
Mkuu kwa dhati ya nafsi yako umeamua kuutetea ujinga hadharani.....

Hongera mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…