DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.

Tena mngepigwa sanaaa hadi mkojoe damu, hapo hamjapigwa, mnavamia kituo cha polisi na kuvunja, nyoko sana nyie, aaaarghhh polisi mngevunja vunja mikono na miguu wote hao waliokuja kituo cha polisi na kuvunja kituo, yaani mnavamia na kuvunja kituo cha polisi nyie sio raia ni majambazi kabisa, nyoko nyie, pumbaf zenu, tumbili kabisa…. Aaaarrghhh 😡😡😡😡
 
Hivi why You love creating violence kwenye matumbo ya watu lakini? [emoji38]

Sasa Mheshimiwa yuko zake Mzizima anajiandaa na shopping ya holiday season atayajua saa ngapi ya huko Kazulamimba?!

Hao wananchi hiyo nguvu waliyotumia kuvamia kituo cha Polisi waitumie tena kuhakikisha wenzao wanajulikana walipo na wanarudi uraiani asap!

Haki ni mzawa pacha wa Wajibu ambao mama yao ni Amani japo baba zao ni Sheria na Katiba.
Kwanza ni upumbavu kwenda kuvamia kituo Cha polisi. Siwapendi kabisaa police wa tz hasa utendaji kazii wao unahusisha matumizi kidogo mno ya akili lakini raia wamefanya upumbavu mkubwa walilazimisha kupata mkong'onto.
 
Tena mngepigwa sanaaa hadi mkojoe damu, hapo hamjapigwa, mnavamia kituo cha polisi na kuvunja, nyoko sana nyie, aaaarghhh polisi mngevunja vunja mikono na miguu wote hao waliokuja kituo cha polisi na kuvunja kituo, mngawakung’uta vunja miguu na mikono wote, nyoko zao, pumbaf zao, tumbili hao
Kwa hiyari yao wananchi wamelilazimisha jeshi la police liwatembezee kichapo.
 
Hivi why You love creating violence kwenye matumbo ya watu lakini? [emoji38]

Sasa Mheshimiwa yuko zake Mzizima anajiandaa na shopping ya holiday season atayajua saa ngapi ya huko Kazulamimba?!

Hao wananchi hiyo nguvu waliyotumia kuvamia kituo cha Polisi waitumie tena kuhakikisha wenzao wanajulikana walipo na wanarudi uraiani asap!

Haki ni mzawa pacha wa Wajibu ambao mama yao ni Amani japo baba zao ni Sheria na Katiba.
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Raia wana haki gani kuvamia kituo cha polisi?

Kilichowapata wamekitaka, na hao waliobaki hai wapewe adhabu kali kabisa.
 
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
Kuvamia kituo cha polisi siyo kutumia nguvu?
 
Kwanza ni upumbavu kwenda kuvamia kituo Cha polisi. Siwapendi kabisaa police wa tz hasa utendaji kazii wao unahusisha matumizi kidogo mno ya akili lakini raia wamefanya upumbavu mkubwa walilazimisha kupata mkong'onto.

Nitajie ni Polisi wa nchi gani hapa duniani unayoifahamu ambao wanahusisha matumizi makubwa ya akili kwenye scenario kama hiyo ya huko Kazuramimba ?
 
Mahakama zipo ...

Mpelekeni mahakamani kwa hizo tuhuma za "yasiyoonekana"....

Ni kweli uchawi upo....ni sayansi ya "gizani"....

Unashinikizaje polisi wakupe mtuhumiwa ?!!![emoji15][emoji15]

Raia wajibu wetu si kutii sheria zetu wenyewe?!!! [emoji15][emoji15]

UNAVAMIAJE KITUO CHA POLISI???? [emoji15]
 
Wamefanya upumbavu huwezi kwenda kuvamia kituo Cha polisi. Hata nkasi walivamia kituo Cha polisi kabwe na kukipiga moto mpka saizi kuna watu bado wanasota nyuma ya nondo na wakizubaa watakula mvua za kutosha.

Mambo mengine ni kuwatafutia lawama police.
[emoji7]
 
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
Mkuu kwa dhati ya nafsi yako umeamua kuutetea ujinga hadharani.....

Hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom