DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Waganga wahuni hawa wanatembea usiku kwenye nyumba za watu na kuwawekea matunguri kisha kesho yake wanaenda kuyavumbua eti kwenye nyumba hizohizo na kuonekana mwenye nyumba mchawi wapuuzi sana.
 
Sasa ulitaka waachwe wamuue mtu asiye na hatia? Pongezi JESHI LA POLISI
 
Hapo hakuna jinsi, hao ni wahalifu kama wahalifu wengine …
 
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.

Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?

Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
Nyie mlienda kuelimika au kufanya fujo?? Kams raia amekimbilia polisi na polisi wamemuhifadhi nyie mlienda kufanya nini?? Kwanza kwann mtafute wachawi??? Nani amewapa vibali?? Yaani kichapo mlichopata hakiwatoshi kitakiwa kianziw kwa huyo mganga wenu mpaka nyie vinyamkera wake

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Tulienda kumpelekea keki ya birthday🤣
 
Safi sana jeshi la polisi fyekelea mbali hao wapuuzi,karne ya 21 bado kuna mijinga inaamini ushirikina

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom