Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Yaani Wana safari ndefu haswaa akarne hii wanapambana kutoa uchawi? Hii ni aibu kwa taifa.Ukiona bado kuna sehemu eti mganga anatoa wachawi ujuwe hiyo sehemu na watu wake bado wapo nyuma sana kifikra na kimaendeleo poleni sana kazuramimba kigoma.
Kwanza ule ni utapeli mtupu.