DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tena ilipaswa wauwawe wote! Unavunja kituo ili iweje? Kwani mchawi unamdhibitishaje?!

Uchawi adhabu yake kisheria ni ipi?!
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Huu uninga upumbavu, utawatoka lini kina Zito?!!! Anakopita mwarabu uchawi lazima utamalaki, na umasikini wa kutodha....
 
Hakuna polisi walio kufa huko mbwa hao 😡
 
Kwa swala Hilo polisi wapo sahihi asilimia buku,waganga kwa kiasi kikubwa ndio wachawi wenyewe na adui wakubwa wa maendeleo ,Kama Ni maswala ya ulozi Ni spiritual matters yalitakiwa yatatuliwe kwa namna hiyo hiyo,eti mtu kafa kwa pressure kwa mfano halafu familia yao wabaenda kwa mganga kupiga ramli then mganga anaropoka kuwa aliyemloga marehemu Ni baba yangu mzazi ,huku fika Mimi ninamjua baba yangu siyo mtu wa Mambo hayo,Wala Hana huo muda ,waganga Ni chanzo Cha kugombanisha watu
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
CCM chanzo cha matatizo
 
Polisi wamefanya la maana sana, wakichekea haya mambo yatatugharimu sana Tanzania.
Hapa kuna kwa nini nyingi sana.
1. Kwa nini maeneo mengi yaliyokaliwa na waarabu yana kiwango cha juu cha ujinga na umaskini?
2. Kwa nini serikali haikuchukuwa hatua kali mapema kwa hao waganga matapeli wanaosaka wachawi wakati wanajukana na kazi zao wanafanya kwa uwazi?
3. Kwa nini hao wananchi wasitumie hizo nguvu kumuondoa mchawi wa kweli aliyewaloga ambaye ni CCM?
 
Kwa swala Hilo polisi wapo sahihi asilimia buku,waganga kwa kiasi kikubwa ndio wachawi wenyewe na adui wakubwa wa maendeleo ,Kama Ni maswala ya ulozi Ni spiritual matters yalitakiwa yatatuliwe kwa namna hiyo hiyo,eti mtu kafa kwa pressure kwa mfano halafu familia yao wabaenda kwa mganga kupiga ramli then mganga anaropoka kuwa aliyemloga marehemu Ni baba yangu mzazi ,huku fika Mimi ninamjua baba yangu siyo mtu wa Mambo hayo,Wala Hana huo muda ,waganga Ni chanzo Cha kugombanisha watu
Wengi hamtafakari kabla ya kuchangia. Hivi nikikuuliza viongozi wa vitongoji, kata, wilaya na mkoa walikuwa wapi kuachia ujinga kama huu kufanywa utajibu nini? Hii habari ya waganga kutafuta wachawi hayo maeneo iko kwenye mitandao siku nyingi sana. Kwa nini hawakuchukua hatua? Huoni serikali ndiyo imefanya yote haya yakatokea?
 
Mkuu kwa dhati ya nafsi yako umeamua kuutetea ujinga hadharani.....

Hongera mkuu.
Polisi na viongozi wa serikali walikuwa wapi kuachia ujinga kama huu ufanyike? Wewe huoni walitakiwa kupiga marufuku hao waganga feki kabla mambo hayajafikia hapa ikitiliwa maanani kuwa hizo habari za kutafuta wachawi zilishaenea siku nyingi? Huu ni uzembe wa serikali per se halafu walipoona mambo yameharibika wakatumia nguvu kunyamazisha. Na huyu maushungi naye kazi kuzurura Uarabuni tu, hajui wateule wake wanafanya nini.
 
Ukiona bado kuna sehemu eti mganga anatoa wachawi ujuwe hiyo sehemu na watu wake bado wapo nyuma sana kifikra na kimaendeleo poleni sana kazuramimba kigoma.
Huu mbona ndiyo mtaji wa CCM? Ingekuwa ni wapinzani wanapita nyumba kwa nyumba kuelimisha wananchi kuhusu katiba wala wasingefanya kazi kwa siku moja. Polisi wangeenda mapema sana. Lakini hao waganga wapo siku nyingi na wamekuwa wanafanya huo ujinga kwa muda mrefu huku polisi wakiwa kimya? Hivi na hao maofisa usalama wa wilaya kazi yao ni kulala na wanawake tu?
 
Ulaya wameanza kutoa shahada ya uzamili ya uchawi kwenye vyuo vyao vikubwa nyie wachawi mnawasaka chaka tu chaka ili muwauwe.
Uchawi wa Ulaya unalinganisha na huku kwetu bara giza ? Kule ukiwa na kitu kizuri wanakusidia kukitoa nje, huku wanakusaidia kukipoteza kama sio kukiua na ikiwezekana pamoja na wewe, MKUFE wote.
 
Serikali ikikuuliza leta ushahidi ya kwamba huyu amekuzuia usiendelee.
Utapeleka ushahidi gani ili achukuliwe hatua.
Serikali yetu haiamini katika masuala ya uchawi ila watendaji wake huenda wakawa wanaaamini uchawi.
Serikali haiamina uchawi ila waganga wanapewa vibali na serikali, sasa mganga na mchawi wanatofauti gani!
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Ubishi, uchawi na ulalamishi

Hilo ndio tatizo
 
Wacha lakini hao wachawi wadhibitiwe kikamilifu.
 
Huu mbona ndiyo mtaji wa CCM? Ingekuwa ni wapinzani wanapita nyumba kwa nyumba kuelimisha wananchi kuhusu katiba wala wasingefanya kazi kwa siku moja. Polisi wangeenda mapema sana. Lakini hao waganga wapo siku nyingi na wamekuwa wanafanya huo ujinga kwa muda mrefu huku polisi wakiwa kimya? Hivi na hao maofisa usalama wa wilaya kazi yao ni kulala na wanawake tu?
Wapinzani ndio washirikina kuzidi hata wana CCM kama ulikua hujui.
 
Hata ningekua mm ningeuwa wote simbilisi hao. Unamjuaje mchawi Kama haulogi nae?
 
Jamii ambayo Karne ya 21 bado wanaamini uchawi Ina safari ndfu sana.
Mbaya zaidi wanafunguliwa macho waache ujinga wanavamia kituo cha polisi.
Hao ni wa kufinya haswaa.
Wewe ungekuw apolis ungefanya nini?
Ujinga mwingi ndiyo maana umasikini hauishi huko magharibi.
 
Back
Top Bottom