Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
-
- #81
Copy hayo majibu tuyaone..Umejibiwa huelewi
Kaa hivio hivo had YESU arud akukute unaabudu sanamu
YHWH IS GOOD
Jibu maswali uliyoulizwa..Huna jipya...Tunashikilia hapa duniani
mahali paMungu Mwenyezi."
Papa Leo wa 13,
Katika Barua yake ya Utume,
Juni 20, 1894.
JIPYA HILI HAPAJibu maswali uliyoulizwa..Huna jipya...
Ha haaaa mwenzio kiburi bado wewe,Copy hayo majibu tuyaone..
Halafu maswali umeulizwa wewe kwanini useme " imejibiwa"..? Wewe una majibu gani...??
Umeambiwa kama huna majibu usikanyage hapa
Huna tena hoja....uliyoulizwa umeshindwa kujibu(Huwezi kujibu) kazi uliyobaki nayo ni copy na pasteHa haaaa mwenzio kiburi bado wewe,
Mbona unalialia ,nakopy ndio kwenye vitabu vyenu, si mnataka mpaka padre awasomee, nawao hawataki maana mtaujua ukweliHuna tena hoja....uliyoulizwa umeshindwa kujibu(Huwezi kujibu) kazi uliyobaki nayo ni copy na paste
Nipo
Ukweli gani...??? Ni kwamba nakuonea huruma...Mbona unalialia ,nakopy ndio kwenye vitabu vyenu, si mnataka mpaka padre awasomee, nawao hawataki maana mtaujua ukweli
Kulialia oho nakopy sijui nini hakutakusaidiaUkweli gani...??? Ni kwamba nakuonea huruma...
Atleat ungejibu maswali...Kulialia oho nakopy sijui nini hakutakusaidia
Mimi nikija nakuchapa
Na mod pia watakuchapa pia ,
YHWH IS GOOD
Mwenzako jana Dumelang alikimbia uchi..Mimi nikija nakuchapa
Cult hii hapaMwenzako jana Dumelang alikimbia uchi..
Nilimwambia anisaidie kutambua hawa ni Wasabato gani...
Wakati wewe unaendelea kuharisha huku..wenzako wameshaanza kusali Jumapili
Sasa hebu tetea jumamosi yako
The Huntsville First Seventh-day Adventist Church in Huntsville, Alabama will begin offering a Sunday morning service called "Surge Church" this weekend. Billed as a casual, come-as-you-are worship service, the 10:00am event aims to attract "unchurched" community members, according to an article in AL.com, an Alabama-based media outlet. First Church senior pastor Debleaire K. Snell told AL that the congregation communicated their intent to South Central Conference leadership, who allowed the service to proceed.
"We have communicated to the Conference office because they wanted clarity on this, but once we communicated the purpose to them, they saw that it is not a big deal," Snell said, according to AL's report.
The article went on to note Snell's insistence that the new contemporary service would not supplant Saturday worship services at First Church, but would supplement them. The service will target non-members who may feel more comfortable with the idea of Sunday services as practiced in most Christian denominations. The service will be offered for the first time this Sunday, February 8.
The Huntsville First Church is less than two miles from the campus of Oakwood University, and all three of its pastors are Oakwood graduates.
According to the First Church website, Snell, a Florida native, graduated with a B.A. in theology from Oakwood in 1999, and graduated with his M.Div. from Andrews University in 2001. In the four years Snell has served as First Church senior pastor, the congregation has seen rapid growth. Snell has twice been named South Central Conference Pastor of the Year.
Alfonzo Green, pastor for Discipleship and Administration also received an M.Div. from Andrews, and is currently pursuing a D.Min. degree in Missional Leadership.
Alfred Hill, pastor for Visitation and Pastoral Care, served in several districts in Mississippi and Alabama before joining the Huntsville First Church staff.
Snell expects some current members to attend the new "Surge" Sunday service. According to the AL report,
Snell said that many of his members have said they're likely to come on Sunday even after attending the Saturday, 11:30 a.m., service. The Sunday service, he said, would be a bit shorter, more informal and more focused on teaching than the Saturday service.
But in case there was doubt about the congregation's beliefs about the Sabbath, the church's website spells them out. The church's statement of beliefs includes a paragraph entitled "Jesus' Day" that states,
JESUS' DAY comes each week on the seventh day (Saturday). He called Himself Lord of this day and He faithfully observed each Sabbath. Because He initiated it during creation week (before the entrance of sin), Jesus desired that all of His people would keep this day as a memorial to His creative power. He also reminded us that His Sabbath is a sign of His power to deliver us. It is, indeed, the Lord's Day. This weekly Sabbath is a foreshadowing of the rest Jesus will one day give His people in Heaven! Mark 2:27-28; Colossians 1:15-17;Genesis 2:1-3; Hebrews 4:1-11
Still, that did not seem to appease many concerned commenters on the AL.com article, who clearly considered holding services on Sunday anathema.
One commenter called Shaz said, "As an ex-Muslim who became a Seventh-day Adventist I have kept, to the best of my ability, the Sabbath of the Lord, not always perfectly, but always intent on it, and I want to add the Sabbath of the Lord is NOT Sunday!"
Another respondent, Rudy Butler, had stronger words still:
Wrong choice! A Seventh-day Adventist Church should not have the formal worship service on Sunday. Here are the reasons: Sabbath worship is one of the identifying marks of the Seventh-day Adventist Church. That day sets Seventh-day Adventists aside from all the other protestant churches. Having Sunday worship will confuse the world about who Seventh-day Adventists are.
Nikubana huku..huwa unakimbilia kuweka picha hizi..Dai lile lile alilolisisitiza Shetani
katika nyika ile ya majaribu bado linasisitizwa naye [papa] kupitia katika Kanisa la
Roma, na idadi kubwa sana ya watu wako tayari kumsujudu yeye.
Mbona kama umechanganyikiwa hivi?Nikubana huku..huwa unakimbilia kuweka picha hizi..
Sasa hebu tafuta picha zingine bana..
Papa Francis akisalimiana na kipngozi wa Coptic Church Misri
View attachment 541603
Sasa wewe umeenda ku-copy kwenye site huko ukatuletea hapa..
Tazama hiii
View attachment 541604
Haya tupe picha zingine hii tumekuumbua
Tandika kabisa furukobe huyuUkirukia huku ...nipo na wewe..
Nakuchapa kila kona yani mbele na nyuma...
Imebidi niscroll juu kuona jina mshisha nondo hizi ni nani,wewe mwanafunzi
ivi vipolo hapa chini mwalimu wako hajaleta majibu mpaka leo
msaidie mwali wako kujibu ivo vipolo
SWALI: nini maana ya KUABUDU,
naomba mambo 7 tu ambayo yakifanywa mtu juu ya kitu fulani huonesha kuwa mtu huyo ANAKIBUDU ICHO KITU (yamo ndani ya hiyo biblia yako, unayojidai kuwa unautalamu nayo) ??????????????????????????
SWALI: ukisoma Kumb. 20:3 – 5, mungu amekatazwa kuchonga sanamu
ila Mungu huyo huyo aliyewakataza Waisraeli kuchonga sanamu, mbele kidogo anamwagiza Musa huyo huyo kuchonga sanamu ya makerubi katika sanduku la Agano (makerubi ni vitu vya mbinguni) ( Kumb. 25:18 – 20, Ebr. 9:5). Hapa Mungu ameonekana kutengua kile ambacho alisema pale mwanzoni kuwa wasichonge sanamu yoyote........... NAOMBA MAELEZO ????????????
SWALI: Kama haitoshi, ukienda mbele kidogo ya kitabu hicho cha Kumbukumbu la Torati Mungua anafanya mchezo wa hatari zaidi wa kumwambia Musa achonge nyoka wa shaba (kitu cha duniani) na kumweka kwenye mti na kila amtazamaye angepona. (Hes. 21: 8-9, Yoh. 3:14 – 15)...............NAOMBA MAELEZO ????????????
SWALI: picha/sanamu ambazo umetundika hapo ndani kwako au izo zilizo ndani ya simu yako au ambazo huwa unapiga kwenye masherehe NI ZA NINI ? (wakati biblia yenyewe inakataza hata kuzichonga/kuzitengeneza)
AU IZO PICHA ZA MCHUMBA WAKO/ MKE WAKO / RAFIKI/ NDUGU WA KARIBU AMBAZO HUWA UNAZIBUSUBUSU ZENYEWE SI SANAMU ???
NAOMBA MAELEZO...............................
SWALI: picha mlizotundika kwenye kuta za hapo kanisani kwenu unakosalia ni za nini (wakati biblia yenyewe inakataza hata kuzichonga/kuzitengeneza) ???????
mmedai kuwa wakatoliki wamenyofoa amri ya pili na kuiweka kando
Nanukuu (kutoka 20:3-5)
3“Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4“Usijifanyie sanamu ya kuchonga katika umbo la kitu cho chote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji. 5Usivisujudie au kuviabudu”
SWALI : naomba tofauti ya kimaana au ya neno kwa neno ya hiyo aya ya tatu(AMRI YA KWANZA) na iyo aya ya nne (AMRI YA PILI, UNAYODAI TUMEINYOFOA)???????????
SWALI: Naomba unieleze/unipe sababu ni kwanini Yule kijana myahudi alimuuliza yesu kuwa AMRI ILIYO KUU IPI ???????????????
SWALI: naomba unieleze ni kwa nini yesu alipoulizwa kuhusu amri za mungu, yeye hakuanza kama unavodai wewe ila alianza kutaja kwa kuanzia na amri ya tano, au mfululizo(arrangement) unaoudai wewe hakuwa anaujua naomba maelezo ????????
NA UKIKOSA MAJIBU USIRUDI
Na wewe ni muabudu sanamu?Tandika kabisa furukobe huyu
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Kati ya hao nani kaomba msamaha? Halafu niwekee dhambi mpya ambayo Mungu Haisamehe [emoji47] [emoji12]Acha kubwabwaja
Wote hao hakuna aliyeua weng kama RC
Rc imeua zaid ya watu mil 100 unalijua hilo au unabwabwaja tu
YHWH IS GOOD