Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Duuuh yaani badala umuwekee mtu mil50 zake kwenye account unaanza kumfanyia na kumpangia matumizi. Mara sijui nakujengea nyumba unanipa gari bovu etc.Aisee mambo yanazidi kuwa mazito, nimetoka kuangalia interviews mbili hapa za waliopats kuwa washindi wa hili shindano
1.Jumanne Idd anadai alipewa gari (COROLLA USED) na sofa basi mchezo ukaishia hapo kila mtu kwao.
2.KAYUMBA (2015) yeye anadai baba yake alipewa million 2 na mama yake pia million mbili, akalipiwa wimbo wa katoto video& Audio, alipewa gari aina ya porte ila ulikuwa mkweche ambapo dogo akauza screpa kwa 1.8m, aliambiwa pesa nyingine atajengewa nyumba lkn hadi leo dogo hajawahi kupewa hati ya hiyo nyumba....anachokumbuka zaidi alikuta sh 15,000/= kwenye account yake baada ya hapo mchezo ukawa umekwisha dogo akaanza kupakuka mtaani na ameongeza kwamba huwa inawawia vigumu kupata support ya wadau coz kila wakigusa wanaambiwa wewe si umeshinda 50M jisukume mwenyewe na amempongeza meshack kwa kuwa jasiri.
Mambo ni magumu sana jamani na hii corona hebu tuendelee kunawa mikono tu[emoji114]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wanawapa ushindi watu wanaotaka wao.
Kama yule Kayumba sijui alishindaga kwa misingi ipi?
Huyo Kayumba ukiondoa kukata viuno alivyokuwa anakata, pale hakuna msanii. Msanii alikuwa yule jamaa wa chuga.Kuna dogo Aliyeshika nafasi ya 2 baada ya Kayumba, nilisikitika sana, mtu aliimba wimbo wake mkali sana eti kayumba akapewa ushindi.
Mwaka jana Leonard alifaa ashinde, jamaa alikuwa poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengi amekufa na BSS . Alikuwa anatia Fedha mule.
Hawa kina Rita,salama na master Jay kumbe ni matapeli kweli kweli aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm yenyewe wanapigishwa kampeni na kudhulumiwa.Kwanini msifuatilie na kulianzisha ili vijana wasizulumiwe? hawa ni majambazi kabisa na hawana tofauti na wale wanaoiba kwa mtutu, vijana wengine waliunga juhudi za chama nao kule wakadhulumiwa hivyohivyo sasa sijui waende wapi ili kupata haki zao?
Awamu Ya Tano Wataumbuka Wengi
Huwezi Kufanya Mtu Mjinga Milele
Ila mashabiki walikuwa wanampendaNdio maana wanawapa ushindi watu wanaotaka wao.
Kama yule Kayumba sijui alishindaga kwa misingi ipi?
Walishalipwa pesa ya mshindi na startimes waliodhamini haya mashindano, Ila sasa pesa ya mshindi haijamfikia mshindi, itakuwa wameilaWangekuwa open tu kwamba hawana pesa za kuwapa toka mwanzo wa mashindano watu wangejipanga kisaikolojia km hakuna zawad kubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili na mengine kama hayo tunaona aibu kuyazungumzia
Kwahiyo marehemu alikuwa bado anapumzika palee!!!!!!??😥😥
Huyo Kayumba ukiondoa kukata viuno alivyokuwa anakata, pale hakuna msanii. Msanii alikuwa yule jamaa wa chuga.
kipindi kile alikuwa anapata confidence ya kuwadhurumu hawa vijana kwasababu alikuwa anatoka kimapenzi na mzee mengi(RIP).Aisee! Sasa kwanini hawaitishi press conference kuwaibisha hawa watu. Kumbe yule madam Rita mhuni hivyo sikuwahi kudhania kabisa!
Yani nilijua Leonard Sunday anashinda. Meshamizing alikuwa wa kawaida sana.Kuna dogo Aliyeshika nafasi ya 2 baada ya Kayumba, nilisikitika sana, mtu aliimba wimbo wake mkali sana eti kayumba akapewa ushindi.
Mwaka jana Leonard alifaa ashinde, jamaa alikuwa poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeifuatilia hii story nimegundua mchezo unavyofanyika
hapa kuna uwezekano washindi wanatengenezwa kabla haijafika fainali kunakuwa na makubaliano kati ya mshindi na hao waandaji na mshindi anasigning kuwa kachukua M50
Nasikia kuna kipengele katika mkataba kinachomtaka mshindi asiongee na Media yoyote ile kuhusu ushindi wake na kuhusu zawadi thus why walifeli! mkataba uliwafunga ila dogo kaamua liwalo na liweAisee! Sasa kwanini hawaitishi press
conference kuwaibisha hawa watu.
Kumbe yule madam Rita mhuni hivyo
sikuwahi kudhania kabisa!