Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu



Ana laana ya walimwengu huyo!!
 
Nimefurahi kuskia soon huyu mzugaji ataumbuka pls fanya hivyo ukiitaji msaaada nambie
Yaani kajiingiza kingi mwenyewe ngoja pakuche niongee na walimu wa hapo, pia nimpate huyo Baba paroko Deo
 
Ana laana ya walimwengu huyo!!
Bado kuna matumaini ya kumwokoa,
Kondoo mmoja akipotea mchungaji huwaacha zizini kondoo wote mia na kuanza
kumtafuata aliyepotea.

Akipatikana mchungaji hufanya sherehe na kumrudisha zizini.

Mi naanza kuandaa sherehe ya kumrudisha kondoo Mcharo zizini.
Nitaigharimia mwenyewe na wala siitishi mchango.
 


Ha ha a sawa ndugu kila la kheri
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Vizuri sana mkuu kwa kutambua dini ya haki na ya Mwenyezimungu but hii avatar yako ni wewe mwenyewe actual...?
 
Tatizo kubwa linalomsumbua Deo kisandu ni bolt kulegea kwenye ubongo

Sent from my D5803 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli sina swali mkuu Chief Engineer.

Ila kiukweli huwa unanivunja mbavu na post zako.

Post yako moja inayozungumzia 'Tugari twa mikoani ni tubaya tubaya' ndio ilinifanya fan wako kwa zile replies ulikua unawapa wakuu.

Ile intro yako kabla ya post mpya ya

'Niaje wazeiyaah..
Mko bwax...
EBANA SAWA'

Hiyo intro nilikuaga nacheka sana.

Ila mkuu [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] nipo disapointed ile ID huna tena, sielewi ilikuaje but nilikua mfuatiliaji mzuri sana wa "nyuzi zake"

Hoping to see [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] back soon
 
Sio Padri tena kwa sasa.
Nilikua Padri wa dhehebu moja pendwa Parokia ya Itigi Singida.
Baada ya kutambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Sasa kama sio padri mbona unajiita padri mapigo yako yatamzidi ayubu wewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Adhana nilikua naisikia mara kibao.
Siku hiyo ndio nilielewa maana ya hayo maneno yaliyo kwenye adhana.
Naamini hata wewe hujui tafsiri ya yale maneno. Unasikiaga sauti tu.
Wewe utakuwa mtu wa mbagala misikiti ya mbagala ndo kelele zao na hiyo dini ya haki haki gani ya kujilipua
 
Ni kweli.
Kwa sababu Nyeto ndio ilikua msaada wangu mkubwa tangu nikiwa Tabora Boys, Itaga Seminary, UDSM , Amsterdam School of Divinity.
Hujasoma Boarding school wewe???
We ni kizibo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe sio padre wewe ni muhuno flani aliyejipenyeza kanisani.

huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
 
Sio Padri tena kwa sasa.
Nilikua Padri wa dhehebu moja pendwa Parokia ya Itigi Singida.
Baada ya kutambua dini ya haki, nikaachana na utumishi.
Ni ipi hiyo dini ya haki ili nami nijiunge nayo

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…